Misterdennis
JF-Expert Member
- Jun 4, 2007
- 1,741
- 481
hapo kwenye nyekundu dogo tumia kiswahili tu english hujui, wewe na jamaa zako wahamiaji haramu mtaendela kukamatwa tu na hata wewe kwa taarifa yako unaweza kuwa treced tu na kukamatwa.
Uthibitisho wa uraiaJe katika zoezi la kuwaondoa wahamiaji haramu.Naomba kuuliza,leo hii tukipita nyumba kwa nyumba Tanzania nzima,je ni watu wangapi wataweza kuthibitisha uraia wao?Inawezekana hata wewe unayesoma ujumbe huu sii raiya halali.kuwa tu na vitambulisho haitoshi kuwa Raiya.Kama ni uraiya wa kwa kuzaliwa je una nyaraka zinazoonesha we ulizaliwa Tanzania?Kama ni wa kuandikishwa una cheti za kuzaliwa au nyaraka yoyote ya uhamiaji?Kama vyote hivi huna inatosha kuthibitisha kuwa ni mhamiajia haramu.
Mpendwa tunaiharibu TZ.kwa mikono yetu wenyewe... soma hapo:-
Mtanzania inatokana na Mtanganyika na Mzanzibari...Sasa WaTanganyika ni WaTanga na WaNyika ni wakenya hao walikuja wakakaribishwa na waGogo ambao ni wenyeji hapa Sasa kwa ujanja Wote tunajulikana. Na huko zanzibar ni Waarabu nao walobaki na kuoona na wamwambao ndo wakajiita wa zanzibari kakazaliwa kaTanzania. Acheni roho mbovu nyie wachache mlo malimbukeni !! AMERIKA huko watu wote ni wakufikia tu ona maendeleo Ona Matokeo ya wema wa Roho zao tija yake "UCHUMI JUU, ELIMU JUU, MAISHA TOSHA, AFYA POA, AJIRA za SHIMIRI NK. " acha uzembe uchaguzi waja hizi ni Siasa chafu.
Good luck kijana usipoteze imani yako.
Well Said , Na sisi ndiyo tulipe katika migongo yetu katika USUMBUFU na kuvunjiana heshima!! Mkuu tunajikaangaa na mafuta yetu wenyewe !! Pole Tz POLE sanaa !! siasa za ""'' """..Tanzania hatuna vitambulisho vya raia wetu.
..serikali ilikuwa inapiga danadana suala hili tangu wakati Augustino Mrema ni Waziri wa Mambo ya Ndani.
..tena wakati huo walikuwepo watu ambao walikuwa wanadai vitambulisho vya uraia wa Tanzania havina faida au ulazima wowote.
..Kwa kifupi raia wetu are paying kwa UZEMBE wa serikali yetu ktk kutoa vitambulisho vya uraia. Wahamiaji haramu nao wanajua hiyo weakness yetu and are taking full advantage of the situation.
..bila ya vitambulisho vya uraia, zoezi hili litaendelea kuendeshwa kwa KUBAHATISHA na zaidi kutakuwa na USUMBUFU mkubwa kwa baadhi ya raia ya nchi yetu.
vizuri. lakin mbona raia wa uganda.kenya na rwanda watimuliwe kama mbuzi na raia wa malawi waambiwe wakajiandikishe wapate vibali? nijibu mkuu
Well Said , Na sisi ndiyo tulipe katika migongo yetu katika USUMBUFU na kuvunjiana heshima!! Mkuu tunajikaangaa na mafuta yetu wenyewe !! Pole Tz POLE sanaa !! siasa za ""'' """
Good luck mkuu
Mkuu Sikatai sharia zinabadilika, Lakini cha muhimu wamejenga nchi na mindombinu kwa pamoja? hao wametambuliwa na walishirikishwa kuwajibika wakati maYankee walikuwa wanaula starehe, Hadi hii leo wa Latinos wanakuja na kurudi juu ya vikwazo vyote(ukuta/fensi/Patrol,nk) Lakini Mashamba yanawapokea kama vibarua UNDERPAY na wajemba wanajipatia income na kuTransfer fund makwao thru US banks remittance !! Sasa njo kwetu hawa wageni wanajituma na kuchapa kazi na wengi ni underpay lakini wanakula jasho lao kihalali...Wakati siye wabongo tunataka high lifu na free lunch ktk maisha yetu.!! Tusikwepe ukweli Mkuu hii ipo kila nchi Duniani yakuwa WENYEJI huwaga wavivu na carefree wewe tazama na ufanye utafiti utathibitisha kuwa wageni ni wawajibikaji na wao ndo hujenga nchi. Usiku mwema!wewe usiwasifie waamerica labda ilikuwa zamani sasa hivi hata kama un visa ya miezi mitatu uki overstay wakikukamata kwanza unaenda mahabusu unapelekwa mahakamani ukiwa convicted unafugwa baada ya hapo wana ku deport na unapewa permanent ban ya kugusa nchi yao tena,kuna raia wengi wa latin america wenye watoto waliozaliwa us na kwa sheria zao pia wanatimuliwa wanapewa option ya kuacha watoto wao ambao ni us citizen kwa jamaa zao au wawachukue hao watoto warudi us wakiwa wakubwa!!!
KWELI NA UWAZI, HUO NDIYO UHAKIKA UZEMBE WETU NDIYO TUNACHANGIA JANGAA HILI...... Baadhi ya wahusika walishughulikia tenda ya kusafirisha wa ETHIOPIA kupitia nchini kwetu kuwapeleka Sauzi (SA) wngi walikuwa wakisafisrishwa kwa makontena kupitia barabara zetu na njia za panya walipasua pori na misitu yoteya Tanzania... Na wengine walikutwa wamekufa ndani kontena na wengine wamesalia kwenye mbuga za wanyama na wengine wamo uraiani.... nina shaka hata Sauzi hawakufika. zaidi zoezi hilo halijakomeshwa bado lina dunda!! Inasikitisha kuwa maofisa na wahusika hukatiana dili na wajanja. Usumbufu utakuwepo na kuendela kukuwa kkwa kiasi kikubwa kama immediate ACTION hatochukuliwa. Pole sana poleeni waBongoland hatuna muarobaini !!..ndicho kinachotokea hicho.
..usije ukashangaa hata maofisa wetu wa uhamiaji na wao hawana birth certificate, au hata kitambulisho cha mpiga kura.
..nchi hii imekuwa inaendeshwa kwa bahati-bahati na ubabaishaji wa hali ya juu. kila mahali nilipotembelea nimekuta wana mfumo rasmi na maalum wa kutambua raia wao. sisi hapa Tanzania hatuna.
..pamoja na hayo wahamiaji haramu ni tatizo kubwa. kuna wanaojishughulisha na ujambazi. kuna waliongiza mifugo yao na inaharibu mazingira na misitu. kuna wengine wamesababisha migogoro baina ya wakulima[wa-tz] na wafugaji[wahamiaji haramu].
NB:
..tunapaswa kuuliza, WHERE WERE THEY[uhamiaji,polisi,JWTZ,usalama wa taifa] mpaka nchi inavamiwa na wahamiaji wengi kiasi hiki? kuna mahali nimesoma kuna wahamiaji haramu wameingia maelfu ya mifugo nchini. sasa nchi unajiuliza nchi hii ina vyombo vya ulinzi na usalama kweli??
..Tanzania hatuna vitambulisho vya raia wetu.
..serikali ilikuwa inapiga danadana suala hili tangu wakati Augustino Mrema ni Waziri wa Mambo ya Ndani.
..tena wakati huo walikuwepo watu ambao walikuwa wanadai vitambulisho vya uraia wa Tanzania havina faida au ulazima wowote.
..Kwa kifupi raia wetu are paying kwa UZEMBE wa serikali yetu ktk kutoa vitambulisho vya uraia. Wahamiaji haramu nao wanajua hiyo weakness yetu and are taking full advantage of the situation.
..bila ya vitambulisho vya uraia, zoezi hili litaendelea kuendeshwa kwa KUBAHATISHA na zaidi kutakuwa na USUMBUFU mkubwa kwa baadhi ya raia ya nchi yetu.
wewe kama sio mtanzania rudi kwenu bwana mnatubana sana hapa nchini kwetu acha kuleta majungu hapa jamvini....mbona hata mie nakujua wewe ni mkenya
life is Short,Mkuu Sikatai sharia zinabadilika, Lakini cha muhimu wamejenga nchi na mindombinu kwa pamoja? hao wametambuliwa na walishirikishwa kuwajibika wakati maYankee walikuwa wanaula starehe, Hadi hii leo wa Latinos wanakuja na kurudi juu ya vikwazo vyote(ukuta/fensi/Patrol,nk) Lakini Mashamba yanawapokea kama vibarua UNDERPAY na wajemba wanajipatia income na kuTransfer fund makwao thru US banks remittance !! Sasa njo kwetu hawa wageni wanajituma na kuchapa kazi na wengi ni underpay lakini wanakula jasho lao kihalali...Wakati siye wabongo tunataka high lifu na free lunch ktk maisha yetu.!! Tusikwepe ukweli Mkuu hii ipo kila nchi Duniani yakuwa WENYEJI huwaga wavivu na carefree wewe tazama na ufanye utafiti utathibitisha kuwa wageni ni wawajibikaji na wao ndo hujenga nchi. Usiku mwema!
Swadakta Mkuu, Perfect analysis and pure facts... Ahsante kwa maelezo hakiki! Sasa Mh. JJ hapo chini katika main and major uchumi crops Nani anamlalilia nani? yaani Mfano Mama anapika chakula kuanzia alfajiri alafu familiya inakula na baada yakula Mama huyohuyo analalamika. hapohapo wanafamiliya wanamnyanyasa !! Sasa Upunjaji utaendelea hadi lini?? Jameenii hakuna hata utetezi au haki za wakulima au tunafumbia macho tuu? Basi tujifunzekuiga kutoka EU ulaya wanajihami katika kila sekta na masilaha nyeti. Wandugu aibu hii na dhuluma hii ya kula jasho na nguvu za wakulima inatupelekea kwenye Baraka za laana na kumghadhibisha muumba.life is Short,
..kinachoendelea hapa Tanzania ni tofauti na USA.
..Latinos wanafanya kazi ambazo wazawa wa Kimarekani hawazitaki.
..Huwezi kumtumikisha mzawa Mmarekani ktk ujira na mazingira wanayotumikishwa Latinos.
..Latinos wangekuwa wanaingilia zile shughuli ambazo wazawa wanazitaka ungesikia kurupushani ambayo ingetokea.
..kwa hapa Tanzania wahamiaji haramu wanagombea resources na wazawa. kwa mfano kuna wanaoingiza mifugo yao na kuharibu mazao ya raia wa Tanzania. wengine wamevamia maeneo ya misitu na kuharibu mazingira. zaidi kuna tatizo la ujambazi wa kutumia silaha za kivita ambazo inatuhumiwa wanaingia nazo toka huko walikotoka.
..kwa kifupi ni kwamba wahamiaji haramu wanaishi kibabe huku wakikanyaga haki za raia. imefika mahali raia wa Tanzania wanaishi ktk mazingira magumu as if wao ndiyo wakimbizi.
..kwa kifupi ni kwamba wahamiaji haramu hapa bongo wanabomoa badala ya kujenga nchi.
..siyo kweli kwamba wabongo wote wanataka high life and free lunch. majority ya wa-Tanzania wako vijijini na wanachapa kazi kwelikweli. hujasikia wananchi wanalalamika jinsi wanavyopunjwa ktk bei za pamba, kahawa, korosho, etc etc.
hasmol,Ndugu zangu tuoneane huruma hata kama kweli tumeamua kuwatoa ktk ardhi yetu itumike njia sahihi na y ahekima ili kutojenga uhasama na nchi za jirani
Kwenye msafara wa mamba kenge Nao wamo hivyo tambua wahamiaji wajanja wajanja tayari wamo kwenye list ya kupata vitambulisho na huenda wengi wameshavipata tayari Maana Kama wameweza kujipenyeza kwenye taasisi na Sekta mbali mbali iweje washindwe kupenya kote?..Tanzania hatuna vitambulisho vya raia wetu.
..serikali ilikuwa inapiga danadana suala hili tangu wakati Augustino Mrema ni Waziri wa Mambo ya Ndani.
..tena wakati huo walikuwepo watu ambao walikuwa wanadai vitambulisho vya uraia wa Tanzania havina faida au ulazima wowote.
..Kwa kifupi raia wetu are paying kwa UZEMBE wa serikali yetu ktk kutoa vitambulisho vya uraia. Wahamiaji haramu nao wanajua hiyo weakness yetu and are taking full advantage of the situation.
..bila ya vitambulisho vya uraia, zoezi hili litaendelea kuendeshwa kwa KUBAHATISHA na zaidi kutakuwa na USUMBUFU mkubwa kwa baadhi ya raia ya nchi yetu.
with high respect mkuu, umeongea kwa hekima na busara " yaonekana serikali haykulisoma na kulitafakari jambo hili "
kukurupuka kwao kutazaa tija na matokeo yasiyo tatulika... Yaani human disaster ! Si ajabu hasara zake ni kubwa kuliko walivyotegemea. Watanzania tupo pamoja na mungu atusaidie.