Maudhi ya operesheni kimbunga!!

Jipe moyo. Adha ya namna hii itampata kila mtu mahala popote. Ila zoezi lina nia njema, kwani uhamiaji haramu ni threat to the national security. Ugumu wake unatokana na kukosa national ID.



Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

yangu macho kako.kesho utasikia hawa wangoni na wanyasa warudi kwao..inaniuma mtu kazaliwa tanzania miaka 45 iliyopita, wazazi wake walilitokea burundi,wakafia pale uyowa ulyanhulu tbr..vijana wakasambaa wengine wapo serikalini yule kaka yao na wadogo zake wa kijiji wao ni haramu,ila hawa wa serekalini ni halali.serikali ije na mipango imara bhana.sio ubabe ubabe
 
vizuri. Lakin mbona raia wa uganda.kenya na rwanda watimuliwe kama mbuzi na raia wa malawi waambiwe wakajiandikishe wapate vibali? Nijibu mkuu

raia wa malawi wengi wao wanatumiwa kama cheap labour na matajiri,,,,niwataalamu sana katika mambo ya bustani,,usafi wamazingira,viwandani,na ulinzi,,,matajiri wengi wanawatumia katika maitaji yao kwa ajili yakupunguza cost,,,hao ndio watakuwa wanawakingia kifua hawa jamaa wamalawi wasiondoke tz wabaki kuwatumikia hawa matajiri,,,,wamalawi wengi wanaishi kawe,,,,mfano kuna hoteli moja ipo karume ilala,,,wamejaa sana pale,,,mpaka leo wapo wanakula bata..
 
Jipe moyo. Adha ya namna hii itampata kila mtu mahala popote. Ila zoezi lina nia njema, kwani uhamiaji haramu ni threat to the national security. Ugumu wake unatokana na kukosa national ID.



Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

kuna mwaka fulani hivi tulivuka mpaka kwenda kula Debe(mziki) mishale ya saa kumi na moja tunarudi stendi tukakamatwa na askari wa kenya..kitu cha kwanza kuulizwa (unatoka wapi na unakwenda wapi wapi)? Wapi Kipande yako,kaa chini.kitambulisho cha taifa muhimu sana.sema tu tumechelewa
 

upo sahihi mkuu,,,hawa jamaa wanaofanya zoezi la utambuzi na kuchukua maelezo walitakiwa wakalishwe darasani kabla ya hili zoezi halijaanza,,,,

maana hii operation kimbunga inaweza ikawakumba hata wasio na husika na kuwasababishia usumbufu usiokuwa na sababu,,,,
 
[h=3]MATATIZO YA OPERATION KIMBUNGA

WATANZANIA 70 WARUDISHWA NCHINI KUTOKEA RWANDA
[/h]
Serikali ya nchi ya Rwanda imewarejesha watanzania 70 jamii ya wafugaji wa kabila la wahima na wazinza waliokamatwa kimakosa katika operesheni kimbunga inayoendelea nchini na kuwataka wananchi wake kuwa watulivu wakati kamati ya bunge la jumuiya ya Afrika Mashariki ikishughulikia mgogoro uliopo kati ya rwanda na nchi ya Tanzania
 
Binafsi naona zoezi linasuasua,piteni hadi uku kitaani nyumba hadi nyumba wakenya wamejaa
 
Tatizo watu wame vamia operesheni kichwa kichwa bila kujiandaa,
Ni sawa na daktari kwenda kumfanyia operesheni mgonjwa bila kuandaa visu, taa wala dawa ya usingizi,
Matokeo yake anamweka mgonjwa kwa operating table na kumsafisha halafu anaanza kuhaha
Kwengine ukionyesha kitambulisho cha uraia au passport au hata driving licence tu mchezo kwisha..kama wewe ni permanent resident, raia au haramu itajulikana , lakini hapa sisi loop holes kila pahala, na pesa za vitambulisho vya uraia zimegugunwa na panya
Labda sasa tuweke historians na anthropologists etc pale immigration watusaidie
 

Wafuate mfanye maendeleo nao! SISI BONGO HATUACHWI KWENYE MATAA, TUNA UELEKEO WETU!
 
kwan wazaramo hawawez kuwa wahamiaj haram?.........sion sababu ya kuwafukuza walimu kutoka nje ya nchi maana wanawaelimisha vijana wetu tena wapo na vibali..
 
Zoezi hili ni zuri lakini jinsi linavyofanyika sivyo kabisa.Watu wanachukuliwa kwa kuhisiwa wahamiaji haramu(sijui haramu kwa nani), wakibainika kuwa siyo wahamiaji haramu wanageuziwa kibao kuwa wanahisiwa kufanya biashara haramu.. Wananchi wananyanyaswa, wanadhalilishwa katika nchi yao na hii inatokea Dar es salaam sijui mikoani itakuwaje.
Inaonekana kama nia ya zoezi ni ukamataji zaidi kuliko kuonyesha vielelezo. Tunapoelekea sipo kabisa..
Usione rahisi kusema mtu anachukuliwa kwa mahojiano lakini maana yake ni nyingine kabisa.Watu wanalala lupango hadi siku mbili ili tu kuonyesha vielelezo wakati wana vielelezo vyote na ni raia halali..
 
Kama kawaida Tunafukuza WAO natujue na WETU watafukuzwa !! WaTanzania wengi wapo nchi za nje na nchi jirani wakiendesha maisha yao ya kila siku kama kawaida. Sasa zoezi hili la kutimua uhamiaji haramu linapowakumba Wakenya au waGanda, nk; Basi na wa Tz. wetu hawatasalimika nasi tutafukuzwa hii ndo sheria ya kisiasa zisizo na nidhamu. Tujipangee na kutayarisha kambi za kupokea wananchi wetu kutoka nje !! Hayo nisemayo yasiwashtue lakini Ukweli tuige nchi zilizoendelea km: USA, CANDA,AUSTRALIA,EUROPE na nyingi hizi nchi hadi hii leo hupokea wageni wengi kila leo (walokuwa wahamiaji haramu au halali) na wote hao wanatosha kutokana na kuwajibika kikazi na kutoa huduma za aina tofauti....! Nchi hizo zinajengeka na kujengwa na watu wa VICHWA mbali mbali na ufumbuzi wenye maarifa katika zsekta nyingi. imedhirika kuwa maendeleo na uchumi Unakuja kwa njia ya mashindano na kuchuana kikazi kati ya wakazi....!
Sisi kama tumeshindwa kujua basi tungoje hadi tutakapoamka au kuzinduka.!!!!
God bless CLEAN HEARTs and OPEN minds.
 

Kwa hiyo kama ni yeye alileta ile thread, hiyo inahusika vipi na suala lake analoliongelea??
Na who do you think you are kuhoji yeye kuleta hiyo thread?? Au ndio afande kilaza wa airport?
Eti kuidhalilisha Tanzania, nyie wenyewe mamburula huko uhamiaji kazi kula rushwa tu hata hamjui mnachofanya, eti unamtishia.......... !!
 

'Wasiwasi wangu ni uwezo na utayari wa kuwapokea. Tuliwafukuza wahamiaji haramu' ktk hali ya ugafura sana:-tulisikia Rwnd wakilalamika kuwa hawakupewa taarifa...lakini wakaonesha mapokezi makubwa na ya kujari.. wakatoa na usafiri wakupeleka watu wao; walipoombwa magari 50 wakatoa mabasi 100..

Wakifukuzwa wakwetu, tutaweza?...rushwa, umaskini, upendeleo wakupeana tenda....refer matukio ya mabomu ya mbagara na mafuriko jangwani....nasubili comment za ' wazalendo' hapa.
 
Mkuu Muta', kila heshima juu yako, Ahsante mh. Mwenzangu unaupeo na busara aminika, Hawa wajamaa zetu Sijui niwaite jina gani la myama ( WANYAMA WETU ) hawanaga mpango na hawana UTU na wamefilisika damu na kutokuwa na MOYO wa kibinaadamu !! Na bado sijui niwaeke daraja gani humu duniani!! Hadi sasa ninaomba kwa mungu asituletee jangaa hilo na atuepushe na BALAA la aina yeyote katika nchi hii TANZANIA huwaga nina salii sana kuliombea Taifa letu liwe lenye amani na usalama.... hayo Kwa maana nyingi tunawjua VIONGOZI, WANASIASA na WAHUSIKA na WATETEZI, nk Wa nchi hii walivyo Bila kuambiwa, wawezaona Makovu yetu na Majeraha tulonayo !!
Wakuu naomba tutafakari na Tujipange tujitolee na tuwe tayari katika taathira za aina yeyote .... Malipo tutalipwa na MWenyezzi Mungu.AMIN

Shukraani wapenda UTAIFA na wenye UZALENDO.
 
kwan wazaramo hawawez kuwa wahamiaj haram?.........sion sababu ya kuwafukuza walimu kutoka nje ya nchi maana wanawaelimisha vijana wetu tena wapo na vibali..
Tanzania tunawahitaji sana walimu toka nje lakini wanatakiwa wawepo nchini kisheria, na hawawezi kufukuzwa iwapo wana vibali halali. Ila inawezekana au
-vibali vyao ni vya bandia au
- vilitolewa kwa ajili ya kazi nyingine na siyo kufundisha, kwa mfano waliomba kama anahudumu masuala ya kidini kwenye taasisi ya dini kumbe ni mwalimu kwenye shule binafsi.
wanaofuata sheria na utaritibu hawapaswi kubughudhiwa.
 
Zoezi ni zuri kama unavyosema lakini palipo na wengi hapakosi dosari na hasa ukizingatia linafanywa na vyombo mchanganyiko lakini mwisho wa yote faida yake ni kubwa kuliko hasara yake.

 
With high RESPECT mkuu, umeongea kwa hekima na busara " yaonekana Serikali haykulisoma na kulitafakari jambo hili "
kukurupuka kwao kutazaa tija na matokeo yasiyo tatulika... Yaani human DISASTER ! Si ajabu hasara zake ni kubwa kuliko walivyotegemea. Watanzania tupo pamoja na Mungu atusaidie.
 
Hakuna operesheni itakayosifiwa ukiona inasifiwa hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…