Kwani Mahubiri bila shuhuda kwani hayawezikani?

mwaibile

JF-Expert Member
Nov 16, 2022
318
802
Natumaini wote tuko pao kabisa kwa uwezo wa Mungu

Hivi kuna ulazima gani kwa hawa ndugu zetu wanao jiita Wachungaji sijui waubili sijui mitume maana naona kama ushuhuda mwingi umejaa uwongo sana na watu kuingizana mkenge.

Maana naongea haya nimeyashuhudia hapa ninapo kaa kuna mzee mmoja amepata strock yaani kapalalaizi upande mmoja kwaiyo kuna mchungaji yupo Buza anajiita Mzee Misukule ni mtu kutoka Kongo akawa anasikia mahubili kupita kwenye redio.

Sasa kuna mama akawa anatoa ushuhuda kwenye redio kuwa alienda kujifungua akaambiwa mtoto amekufa basi huyo mama akachukua maji ya upako ya mchungaji huyo basi akamwagia mchungaji huyo baada ya hapo mtoto akaamka.

Basi huyo Mzee aliyepata Strock kesho yake akakulupuka hadi huko Buza naye akapate maombi apone kilichotokea kaenda kapigwa hela ya maombi na hakuna alichofanikiwa alichokutana nacho ni tofauti kabisa na ushuhuda kwenye redio kwaiyo naona ushuhuda nikama maigizo kwa sasa.
 
Binadamu ni wagumu kuelewa bila mifano.
Mbona makanisa makubwa hakuna ushuhuda ni ibada baada ya hapo nikutawanyika ila kwann huku kwenye mitume na manabii shuhuda za uongo zinakuwa nyingi maana saiv imekuwa hadi kelo kila redio ukifungua saiv ni maushuhuda dah hadi kelo
 
Ushuhuda WA kunywa maji/ Mafuta MTU akanya Nyoka, Konokono, panya, nge. Hakika unatisha na kushangaza. Mwingine kanya jiwe na mjuc. Halafu baadaye akapona,akazaa, akapta KAZI, mume, mke, Mtoto n.k. Huniacha mdomo wazi.
 
Back
Top Bottom