Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,672
- 15,903
Mashemeji zangu hawa huwa hawana mchezo ...kisasi baada ya miaka minne?...nitakuja kumuona joyce wangu hapo mwisenge😂😂alinipa heshima mimi mwizukul
Ulitaka wauze tigo kama wewe?aisee halafu wakija mjini wanauza mayai kwa kutdmbeza na baiskeli tokea kitunda hadi bunju.
Kumbe ndio maana huwa unajiita Mnyarwanda, OK. Karibu Kona Bar Mbezi Beach kwa Mzee Juma Mugo tuchome nyamaI'm proud of my lovely Region Mara ( Musoma ) and my Zanaki Ethnic.
Nguvu nyingi akili kisoda.Angalau sasa dini,shule na sheria zimewastaarabisha .wanajua ukitumia nguvu imekula kwako haya yatakuhusu jela,kufilisiwa mifugo,au kuishi ukimbizini so wengi wanachagua njia sahihi ya matumizi ya akili zaidi nguvu inabakia shambani.Huko ndio akina Muraaaaa walipo? AU BASI TU.
Wale wasiojulikana waliotumwa kichwa cha tajiri wa mabus na jiwe waliokolewa na police wasiwe mishikaki kama bado wapo hai sidhani watatamani tena operation za Tarime tena watachagua kuacha kazi.Walionja kifoWakajitokeza kina "mura" wakiwa na mapanga. Ndani ya dakika tano wale vijana wakawa wamechanganyika na nyama waliyowinda. Haikujulikana ipi nyama ya nungunungu na ipi ni nyama za wale vijana watatu
unavyokaliaga na na kukatikia kiti cha baiskeli basi mimi nasema MASHALLAH... Ngoja leo ukipita nanunua trey zote ili uanze kunishobokea nile jicho hilo tata...Ulitaka wauze tigo kama wewe?
Ulitaka wauze tigo kama wewe?
Acha ufara, matukio kila sehem yapoKanda maarum.
Mimi hata mnipe ukuu wa mkoa wa Mara. Siendi....
Siwezi kukaa na kula na manyang'au
Hii inadhibitisha wewe umetokea Kanda maarum.Acha ufara, matukio kila sehem yapo
Nimecheka sana. Nisalimie Mzee Juma, Mzee Mugwe, Profesa Kohi, akina Mbwai Kitundu, Mama Tumaini, akina John ( Mwendeshs Gari la Majeneza ), Haji Londa na huyo Dada wa Kichagga hapo ( aliyeolewa na Mzanaki Mwenzangu ) mnapokunywa Pombe, Kuchapana Vyupa na Kugongeana Mademu / Wake zenuKumbe ndio maana huwa unajiita Mnyarwanda, OK. Karibu Kona Bar Mbezi Beach kwa Mzee Juma Mugo tuchome nyama
Asante Buyobe
Kumbe na wewe kijiwe chako, hahah hahah hahaha.Nimecheka sana. Nisalimie Mzee Juma, Mzee Mugwe, Profesa Kohi, akina Mbwai Kitundu, Mama Tumaini, akina John ( Mwendeshs Gari la Majeneza ), Haji Londa na huyo Dada wa Kichagga hapo ( aliyeolewa na Mzanaki Mwenzangu ) mnapokunywa Pombe, Kuchapana Vyupa na Kugongeana Mademu / Wake zenu
Vipi Tumaini Mkono anaendeleaje Kiafya?
Vijiwe vyote vya Dar es Salaam ni vyangu. Huyo Demu mzuri mwenye Shindo ( Kalio ) kwa Sinde bado yupo au ameshaondoka?Kumbe na wewe kijiwe chako, hahah hahah hahaha.
Ngoja nimwambie Sinde jumapili ijayo akuandalie salala kilo 2
Tayari ana mimba yangu, nimempangia JogooVijiwe vyote vya Dar es Salaam ni vyangu. Huyo Demu mzuri mwenye Shindo ( Kalio ) kwa Sinde bado yupo au ameshaondoka?
Nasikia alikuwa anapenda Vumbi Road!!!Tayari ana mimba yangu, nimempangia Jogoo