Mauaji ya visasi

Kuna baadhi ya mambo unafanyiwa, huoni option ya ku-move on bali kulipiza kisasi ndio inakuwa chaguo sahihi.
Imagine unamwachia wife hela ili wanao wapate lishe safi. Lakini kila siku wanafakamia wali maharage.... Kumbe hela anampelekea mdogo wake Mshana Jr ili amchakate papuchi vizuri....

Mauaji mengine sio dhambi kabisa
 
Ambiere
umeruka kisa cha tatu
 
kaka ambiere, unashaurije kuhusu kulipa kisasi?je tumuachie MUNGU kama bible inavyosema kwetu wakristo?au tumalizaane na wabaya wetu tu wenyewe!maaana unafanyiwa mambo yenye kuumiza sana mpaka unakua na uchungu mwingi kiasi kwamba unatamani kulipiza ili uchungu uondoke!ila dini ndo zinatuzuia tuu!yaani aiseee
 
Mkuu; Tunda lilozungumzwa kwenye Bilblia sio "Tunda" tunaloshabikia kuliwa kimasihara.
Ingekuwa ni hilo, Mbona ilishatolewa ruhusa tangu awali kwa maneno: Nendeni mkazae (Adam; Me na Eva/Hawa;Ke )na kuitiisha/mkaijaze nchi(.Mw.1:28) Je, wangezaanaje kama sio kwa kujamiiana?
Tunda hapo ni Kukosa Utii i.e. Unaambia au unaAmriwa usifanye hiki we unapuuzia na unafanya(Umeasi maagizo) kwa hiyo wewe sio Mtiifu.
 
Mtani, Hapa naona mnalishana matango pori aithee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…