Mauaji ya Tanga

Kichinjwa chini ya kisogo ndo magumu au kifo cha watu 8????
 
Mwaka Jana wakati watu wanakamatwa Na jeshi la polisi kwa kuhisiwa ni magaidi huko Tanga kuna member wengi humu walikuwa wanabeza sana Na kuwaona polisi wanaonea watu!!
Ndio maana humu Jf tunasema kuna watu akili zao ni negative siku zote!
Leo hii mnaona kinachotokea huko huko Tanga sasa??
 
Kuchinjana ndio ugaidi?
Hao wakurya wanaochinjana kila siku ni magaidi?

Au kwa kua ni Tanga?
 
Kuchinjana ndio ugaidi?
Hao wakurya wanaochinjana kila siku ni magaidi?

Au kwa kua ni Tanga?
Ukitumia akili yako vizuri tu utagundua utofauti ya wanaochinjana huko kwa wakurya Na huko Tanga!
Fikiria tu vizuri utaligundua hilo mkuu!!!
 
Hayo mazito yaliyoibuka yako wapi au ilitaka watu wasome thread yako?
 
Regardless of the thread tittle
Naamini Shida ni kubwa zaidi ya idhaniwavyo..
 
China raia hawana silaha na haya hayatokei!

Cha maana ni kupiga marufuku kumiliki silaha..ni Majeshi TU.

Hata panga na shoka tupigwe marufuku? Kwani hao wananchi walichinjwa kwa bastola au?
 
naona hapo chini ya kisogo ndo maajabu au?
 
Na kuna watu walisema ni maigizo hakuna lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…