Mauaji ya Pemba 2001: Majina ya Watuhumiwa.

Ina maana wewe huna huruma kabisa na ndugu zetu wananchi wa Pemba waliouwawa !?
hapana si kwamba hana huruma bali anaishangaa huruma yenu iliyokuja miaka kadhaa baada ya tukio!! Je mlikuwa usingizini au kuna ka-ajenda flani hapo???
 
Kama zenji ni nchi Mkapa anaingiaje hapa; nadhani watuhumiwa wakuu ni Maalim Seif na Karume maana baada ya kuuwa wa Zenji baadae wakawa marafiki wakubwa
 
hapana si kwamba hana huruma bali anaishangaa huruma yenu iliyokuja miaka kadhaa baada ya tukio!! Je mlikuwa usingizini au kuna ka-ajenda flani hapo???
timing is all that matters my friend...timing...I have seen so many other thinkers shying from this post ...how I wish this campaign starts in the print and other media...hahaha the beauty of being haunted by ur darkest fear when u have 'resolved' it reminds me of Tom and Jerry, when one relaxes and start sleeping after tideous fight with the other...all hell break loose...bring it on!
 
hii damu ya wazenji iliyosalitiwa na madevu na lipumba kwa tamaa ya utawala na kwa kulaghaiwa na the jussa's itarudi tu

naamini itarudi tu one

God forbit not this century
 
bila hawa kuwa na imani na sisi tungeuliwa zaidi sababu watu walikua tayari kwa lolote na kulipa kisasi
sasa unapowatia kwenye list nawe pia utakua ndie

Heri ufe ukidai haki utakuwa shahidi kama wale wapemba kuliko kufa kwa kuiba kuku! mlipo kuwa mnahimizwa kuandamana mlikuwa hamjui hilo ndio mwajua leo haki mliyo idai haipatikani kwenye kupewa kikombe cha kahawa Unataka pepo kufa hutaki? Bali mlivyo fanya Ndivyo ilivyojili Kumbuka baada ya seif kuzunguka na mangula kuelezea yale makubaliano Mkapa akasema sasa napata USINGIZI Hukumbuki? Jee kabla ya hapo alikuwa akipata USINGIZI? Aliye fanya alale Ni Seif na kundi lake Hivyo basi seif na wenzie lazima mkono wa sheria uwakamate hakuna sound hapo watajitetea na haki ikiona hawana hatia its ok Naye atapata USINGIZI Kama Mkapa la sivyo damu ya mashahidi itamlilia mpaka kieleweke hiki ni kizazi kingine kinacho hitaji haki kama kauli mbiu ya cuf isemayo haki kwa wote sema INSHAALAH!
 
Mnamo tarehe 27 Januari 2001, makumi ya wananchi wa Pemba waliuawa na vyombo vya usalama katika maandamano na mamia kadhaa kukimbilia uhamishoni nchini Kenya..kuna mambo mengi sana yamepatwa kusemwa, lakini jambo la msingi kabisa; ambalo ni kwa watuhumiwa kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria, halijapata kutimizwa..kubwa la kujifunza ni kwamba viongozi wetu wa kisiasa ni njaa kali sana, nathubutu kusema CUF kinaongozwa na viongozi waliokosa dira, wenye tamaa ya madaraka na waliochoka kimawazo..ingekua ni chama makini, naamini wangepiga sana kelele ili waliopanga na kutekeleza mauaji yale wafikishwe mbele ya vyombo vya sheria..thamani ya maisha ya binadamu haipimwi kwa unafiki wa MUAFAKA, ambao mwisho wa siku hautaleta tija wala kubadilisha hali ya maisha ya mzanzibari wa kawaida..wito wangu ni kwamba, Zanzibar si mali ya CUF au CCM pekee, ni mali ya Wazanzibari wenyewe, hivyo basi, kama ambavyo tumeshuhudia jinsi viongozi na maafisa mbalimbali duniani kote wanavyowajibishwa kwa uvunjifu wa haki za binadamu katika nchi zao husika, ni wakati muafaka sasa kwa wenye mapenzi mema na machungu ya kweli kwa Zanzibar, kusimama na kupigania utendekaji wa haki kwa waliotimiza na walioathirika na mauaji ya Pemba mwaka 2001..iwe ni kwa kuanzisha uchunguzi wa ndani au wa nje, mwisho wa siku ni kwamba haki lazima itendeke!!!

Binafsi naamini wafuatao wanalazimika kutoa maelezo kuhusu kwa nini wasiwe ni washukiwa katika kupanga mauaji hayo:

1. Benjamin Mkapa
2. Omar Mapuri
3. Omar Mahita
4. Apson Cornel
5. listi iendelee tafadhali........

Mtu pekee anayetakiwa kumeza lawama zote ni rafiki wangu wa zamani Maalim Seif sharif Hamad. Aliwatoa mhanga hao wote ili baadae awe makamu wa Rais, aibu tupu na tamaa ya madaraka, Seif damu ipo juu yako. Walijitoa mhanga wakijua wanatetea demokrasia kumbe walikua wanajitoa mhanga ili uwe makamu warais uku ukijua umeshinda uchaguzi lakini kukubali matokeo ili mradi uwe makamu, maalim Seif Umeua demokrasia
 
Waziri mkuu kipindi hicho Frederick Sumaye aka Mr Zero sweka ndaaaaniii
 
Mtu pekee anayetakiwa kumeza lawama zote ni rafiki wangu wa zamani Maalim Seif sharif Hamad. Aliwatoa mhanga hao wote ili baadae awe makamu wa Rais, aibu tupu na tamaa ya madaraka, Seif damu ipo juu yako. Walijitoa mhanga wakijua wanatetea demokrasia kumbe walikua wanajitoa mhanga ili uwe makamu warais uku ukijua umeshinda uchaguzi lakini kukubali matokeo ili mradi uwe makamu, maalim Seif Umeua demokrasia
Ukijikumbusha sababu za muafaka na ukatafakari, ukatafiti na kuijua Zanzibar na yaliyojiri kisha ukaandika tena natumai unaweza andika kitu cha maana zaidi Mkuu.
 
Mnamo tarehe 27 Januari 2001, makumi ya wananchi wa Pemba waliuawa na vyombo vya usalama katika maandamano na mamia kadhaa kukimbilia uhamishoni nchini Kenya..kuna mambo mengi sana yamepatwa kusemwa, lakini jambo la msingi kabisa; ambalo ni kwa watuhumiwa kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria, halijapata kutimizwa..kubwa la kujifunza ni kwamba viongozi wetu wa kisiasa ni njaa kali sana, nathubutu kusema CUF kinaongozwa na viongozi waliokosa dira, wenye tamaa ya madaraka na waliochoka kimawazo..ingekua ni chama makini, naamini wangepiga sana kelele ili waliopanga na kutekeleza mauaji yale wafikishwe mbele ya vyombo vya sheria..thamani ya maisha ya binadamu haipimwi kwa unafiki wa MUAFAKA, ambao mwisho wa siku hautaleta tija wala kubadilisha hali ya maisha ya mzanzibari wa kawaida..wito wangu ni kwamba, Zanzibar si mali ya CUF au CCM pekee, ni mali ya Wazanzibari wenyewe, hivyo basi, kama ambavyo tumeshuhudia jinsi viongozi na maafisa mbalimbali duniani kote wanavyowajibishwa kwa uvunjifu wa haki za binadamu katika nchi zao husika, ni wakati muafaka sasa kwa wenye mapenzi mema na machungu ya kweli kwa Zanzibar, kusimama na kupigania utendekaji wa haki kwa waliotimiza na walioathirika na mauaji ya Pemba mwaka 2001..iwe ni kwa kuanzisha uchunguzi wa ndani au wa nje, mwisho wa siku ni kwamba haki lazima itendeke!!!

Binafsi naamini wafuatao wanalazimika kutoa maelezo kuhusu kwa nini wasiwe ni washukiwa katika kupanga mauaji hayo:

1. Benjamin Mkapa
2. Omar Mapuri
3. Omar Mahita
4. Apson Cornel
5. listi iendelee tafadhali........
WAZIRI MKUU ALIKUWA SUMAYE!
 
Safi sana aliyeleta Hoja hii! inafurahisha sana ila inasikitisha pia!
jamaa wengi walipoteza maisha watuhumiwa lazima watakuwepo kwenye suala hilo Hebu tulifanyie kazi kuhakikisha walinyang'anywa uhai wao whaki inatendeka kwa walio sababisha kuchukuliwa hatua za kisheria.
Aisee time does fly.

Mola akurehemu M.M
 
Back
Top Bottom