Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,494
- 21,444
Shinikizo la wazazi bibie.... kwa maelezo yake hiyo familia ya mwanamke ni wakorofi sana... Mungu kamuepusha na mengi.Dah pole sana mkuu Mungu atakulipia hivi huyo mwanamke mtoto alimzaa kweli yy unawezaje kumwachia baba mtoto mtoto hata mwezi hana na huko alipo alikuwa anaishi kwa raha kabisa au alipewa bure huyo mtoto
Yaani huwezi amini shinikizo la wazazi alilifurahia kweli kweli akatupa mtoto hapo akaenda kudate na wanaume wengine mimi huku ninalea mtoto.Shinikizo la wazazi bibie.... kwa maelezo yake hiyo familia ya mwanamke ni wakorofi sana... Mungu kamuepusha na mengi.
Ooh! Hili jambo limenigusa kiaina..Kuna muda unakuaga na busara zako mwenyewe.... lol.
Mbona mim mtu poa mkuu..Kuna muda unakuaga na busara zako mwenyewe.... lol.
Ni maajabu mimi mwenyewe nilishangaa ila ilibidi nilee tu maana ni wangu... na alifika mahali akatoka kabisa akaanza kutembea na kujua kuniita baba, binadamh wakamfanyizia.Pole mno. Mungu atakubariki kwa watoto wengi na wazuri. Ni ngumu kwa hali ya ubinadamu ila Mungu ni wepesi. Inauma sana. Ila wazazi wanaofanya binti kitenga Uchumi Mungu anawaona. Pia kweli bibi ambaye umeshazaa ukaona uchungu unakubali kutenga binti na katoto ka siku 20? Ni wauaji wakubwa hawa. Naomba Mungu isije ikatokea kwa kizazi Changu unyama huu wa kumtenga mtoto wa siku 20 na mama. Hata wa mwaka nitalea awe wa mtoto wa kike au wa kiume sitamwachia akalelewe nisikofahamu. Rest in Peace Angel.
Mtegemee MunguNi maajabu mimi mwenyewe nilishangaa ila ilibidi nilee tu maana ni wangu... na alifika mahali akatoka kabisa akaanza kutembea na kujua kuniita baba, binadamh wakamfanyizia.
Miss you more my mdogo.Miss you my dada...
Hilo ndo jibu nililokuwa nataka kuconfirm.Wagogo.