Asante sana mkuu nipo najaribu kuganga yajayo japo bado maana hata mwezi haujaisha sasa.Duuh! Pole sana Mkuu. Kwa kuwa moyo wako umekukataza na kuona kulipiza kisasi ni kumkosea Mungu basi endelea hivyo hivyo.
Ganga yajayo Mkuu kwani kulizungumzia jambo hadharani kiasi hiki ni moja ya kuutua mzigo ambao ulikuwa umeubeba.
Hivyo endelea na maisha mengine pia inabidi uamini ipo siku utapata mtoto mwingine.
Wewe unamshangaa kumgawa tu? wakati hata kumuona yenyewe kaja mara mbili tu kwa umri huo wa mwaka na miezi tisa?Mtoto hana hata mwezi unamgawa ? Utalala usingizi kabisa ?
Angebaki naye huenda ndio angekufa mapema zaidi.Tumetofautiana mioyo unaanzaje kumgawa mtoto wa siku 20 yaani siwezi, huyo mama kachangia kifo cha mwanae labda angebaki nae yasingetokea.
Kwa kweli hiki kisa kimekuwa kigumu hata namna ya kusimulia mtu ninashindwa.Daah! Kisa kimoja cha kustaajabisha sana. MUNGU akaendelee kuwa upande wako daima Mkuu. Apumzike kwa amani Malaika ktk jina LA YUSU Mnazareth.
Ilikuwa vipi mkuu kuhusu hilo tukio.Asee ngoja nitulie aseer
Humu duniani kumbe kuna watu wapo ili matukio yajirudie
Hili tukio kama lilivyo nimelishuhudia miaka ya nyumabkidogo huko mkoani morogoro miaka ya 1989 kama sijakosea mitaa ya msufini asee
Mungu akutie nguvu
Ndio mama wa ajabu kupata kutokea, yaani mimi mpaka kukubali kuchukua huyo mtoto niliona kuwa mwanangu atapata tabu sana, maana hapo pemyewe tu alipokuwa chini ya uangalizi wangu alikuwa amekuja mara mbili tu, kwa umri wa mtoto wa miaka tisa.Dah pole sana mkuu Mungu atakulipia hivi huyo mwanamke mtoto alimzaa kweli yy unawezaje kumwachia baba mtoto mtoto hata mwezi hana na huko alipo alikuwa anaishi kwa raha kabisa au alipewa bure huyo mtoto
Hee sasa milioni aliitaka nani na kwa lipi?Ndio mama wa ajabu kupata kutokea, yaani mimi mpaka kukubali kuchukua huyo mtoto niliona kuwa mwanangu atapata tabu sana, maana hapo pemyewe tu alipokuwa chini ya uangalizi wangu alikuwa amekuja mara mbili tu, kwa umri wa mtoto wa miaka tisa.
Hata kwenye mazishi hakutokea, sijui alikuwa anafanya nini.
Nahisi kigezo ni kuwa ndugu wa mzazi mwenzake Wana ndugu askari,Ulikamatwa na kuwekwa mahabusu kwa kuvunja sheria ipia? Maana sijaelewa kigezo kilichopelekea polisi wakukamte
Anyway, pole sana mkuu
Walitaka wa upande wao wote baba wa binti, mama, shangazi na wengine wengi.Hee sasa milioni aliitaka nani na kwa lipi?
Wakuuzie mwanao wakati upo nae? Ni kabila gani Mkuu?Walitaka wa upande wao wote baba wa binti, mama, shangazi na wengine wengi.
Nafikiri huyo mtoto walikuwa na mpango wa kuniuzia kwa hela, sasa nafikiri amefariki wao la kwao bado likiwa halijatimia..
Inamana hujaelewa soma upyaSasa mkuu umeishia njiani. Walitaka milioni 1 ya nini hasa? Uliwamalizia? Yule mama uliyemshuku mliishiana vipi?
Wanaijua milioni?Wagogo.
Kuna muda unakuaga na busara zako mwenyewe.... lol.Pole sana mkuu, haya maisha kuna watu wanapitia magumu kiasi magumu unayo pitia ukajiona mwenyewe una afadhali.. Pole sana
Miss you my dada...Duuh! Pole sana Mkuu. Kwa kuwa moyo wako umekukataza na kuona kulipiza kisasi ni kumkosea Mungu basi endelea hivyo hivyo.
Ganga yajayo Mkuu kwani kulizungumzia jambo hadharani kiasi hiki ni moja ya kuutua mzigo ambao ulikuwa umeubeba.
Hivyo endelea na maisha mengine pia inabidi uamini ipo siku utapata mtoto mwingine.