Kweli mpenzi wangu kuwa mchawi sio lazima uwe na vibuyu. Kweli kachanga hako unakatoa unadunda tu kitaa kweli? Halafu akifa unalia na kudai hela.alimuua siku ile alipomgawa kwa watu
Dah pole sana mkuu Mungu atakulipia hivi huyo mwanamke mtoto alimzaa kweli yy unawezaje kumwachia baba mtoto mtoto hata mwezi hana na huko alipo alikuwa anaishi kwa raha kabisa au alipewa bure huyo mtoto