usimtukane mwenzio nikweli chagonja ni mzigo mimi mwenyewe nimemwona hata kuongea tu anahema je akikutana na huyo muuaji itakuwaje??Acha kuongea kwa chuki na hisia badala ya uhalisia, ivi unadhan kazi ya kumtafuta mtu usiemjua ni ndogo kiac hicho? Msipende kutoa comment juu ya kitu usichojua utendaji wake unavyotekelezwa otherwise ungekua polisi then ukawa unajua jinsi utendaji wao unavyofanyika at least ungeweza kuongea. By the way issue hiyo ya mauaji ni hatari sana na hawawez kufanya km unavyoenda chooni tu bila hofu!
usimtukane mwenzio nikweli chagonja ni mzigo mimi mwenyewe nimemwona hata kuongea tu anahema je akikutana na huyo muuaji itakuwaje??
kweni unafikiri hawajui watakuambia si kazi rahisi kumtafuta mtu usiemjua hebu tuwaulize waliomuua kamanda balo walikuwa wanawajua waliwezaje kuwatafuta na kuwakamata?? inamaana hata yule alietajwa na ulimboka hawamjui?? msitufanye ndizi tunaakili.kwani ya arusha angemuliza mwuingulu ndiye aliye toka china na kofia ya majeshi ya china
Acha kuongea kwa chuki na hisia badala ya uhalisia, ivi unadhan kazi ya kumtafuta mtu usiemjua ni ndogo kiac hicho? Msipende kutoa comment juu ya kitu usichojua utendaji wake unavyotekelezwa otherwise ungekua polisi then ukawa unajua jinsi utendaji wao unavyofanyika at least ungeweza kuongea. By the way issue hiyo ya mauaji ni hatari sana na hawawez kufanya km unavyoenda chooni tu bila hofu!
hivi alikamatwa kweli? mbona baada ya maandamano sikusikia tena mauwaji?mkuu kwa wa2 kumi cyo wivu wa mapez kwan nakumbka mwaka 2012 mauaji kama hayo yalitokea songea mjin halafu mkuu wa mkoa akasema ni wivu wa mapenz kumbe walikuwa ni wauaji/majambaz kutoka nchi jirani ya Malawi.Naomba serikali isilichukulie mzaha jambo hilo ni hatari kwa ndugu zetu mungu awasaidie.
Acha kuongea kwa chuki na hisia badala ya uhalisia, ivi unadhan kazi ya kumtafuta mtu usiemjua ni ndogo kiac hicho? Msipende kutoa comment juu ya kitu usichojua utendaji wake unavyotekelezwa otherwise ungekua polisi then ukawa unajua jinsi utendaji wao unavyofanyika at least ungeweza kuongea. By the way issue hiyo ya mauaji ni hatari sana na hawawez kufanya km unavyoenda chooni tu bila hofu!
Acha kuongea kwa chuki na hisia badala ya uhalisia, ivi unadhan kazi ya kumtafuta mtu usiemjua ni ndogo kiac hicho? Msipende kutoa comment juu ya kitu usichojua utendaji wake unavyotekelezwa otherwise ungekua polisi then ukawa unajua jinsi utendaji wao unavyofanyika at least ungeweza kuongea. By the way issue hiyo ya mauaji ni hatari sana na hawawez kufanya km unavyoenda chooni tu bila hofu!
Jamani kumejitokeza Mtu/
kikundi cha watu Wilayani Tarime kinachoua watu katika hali ya kusshtua
na kushangaza sana, mimi binafsi nina taarifa za watu wawili waliouwawa
jana na hao wauaji, jambo la kustikitisha ni kwamba wauaji hao tangu
wameanza kuua yapata wiki moja sasa bado hawajakamatwa na hivyo
kuwafanya wananchi kuwa na hofu kubwa na usalama wao.
Ni wito wangu kwa Jeshi la polisi kuongeza nguvu ya askari wenye
utaalamu na Ujasiri kwasababu hali hii sasa inatisha kweli kweli..Polisi
wa kanda maalum inaonekana bado hawajaweza kupata ufumbuzi wa mauaji
haya...