meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
Hii habari ya inasikitisha. Wamempora wakamuua au ilikuaje?
tutaaminije hii habari.....hakuna picha....?
huyo jamaa alikuwa na simu na nguo za kimasai na sime alikuwa nalo. inaonesha walimnywesha madawa kum subdue ndipo wakamtendea mauaji hayo. alikuwa amefungwa miguu na mikono na usoni wamemfunga shuka kwa kulikaza sana. hilo la pesa kuibiwa watu wamejuaje maana halijatangazwa???? huyu marehemu alikuwa anaitwa jacob ngelirumo, miaka 52 anaishi endasaki.
hicho chumba kilikuwa registered kwa jina la mwanamke.
jamaa aliluwa meli wa hatari..yani alikuwa anawakopeshaga wale wa maasai wenye mashimo na landcruiser..jamaa wanahasira mpaka basi..jana hadi OLE SENDEKA alikuwa kwenye kikao chao..wamekazaje sura..ukibonga mbovu utakula risasi mpaka basi..jamaa inasemekana alikuwa na mwanamke kama wakikenya
..kapigwa kitu kama billion hivi kwasabu alikuwa na cash kama m600 na mawe..