Wadau angalieni haya mauaji ya kimbari kwa mifugo huko Ngara.
Inasemekana wenye mifugo wamegoma kutoa rushwa as a result jamaa wa wanyama pori wakaamua kuwafanyia kweli,nchi hii bwana.
Imeelezwa mwandishi wa habari kafukuzwa asiripoti hili janga.
Ng'ombe wamewekwa ndani ya old borrow pit lililojaa tope na wameachwa wajifie taratibu kwa njaa na kiu.
Haki za wanyama ziko wapi na mashirika kutetea viumbe yako wapi?View attachment 155393
View attachment 155403View attachment 155402View attachment 155401View attachment 155400View attachment 155399View attachment 155398View attachment 155397View attachment 155396View attachment 155395View attachment 155394