Life will not be as before! Haitajatokea huyu muuaji aje kuishi na huyo mke kama Ilivyokuwa mwanzo! Sasa ya nini kuuwa? Jamani tujifunze na kuanza utaratibu wa kupuuzia ili maisha yaendelee! Dawa ya mchepuko ni kuchepuka!....mbona jamàa kavaa vizuri kama yupo disco ? fumanizi gani hilo .labda ni story tu wqmemuua,...
haya sasa mwanaume lazma akae lupango kujibu kesi ya mauaji alafu anamwacha mwanamke uraiani...akigawa nyuchi.
Picha hizi haziruhusiwi ni too graphic, zinaumiza!, next time kabla hujapost jiulize suppose mhusika ni ndugu au jamaa yako, ungepost?!.
Pasco.
Mkuu huyo hawezi kufungwa mana amefumania hapo hapo na kaua papo hapo. Ngoja wataalamu wa sheria waje watufafanulie zaidi ila ameua bila kukusudia. Inauma sana kuliwa mke tena mtu mzima analiwa na dogo kwenye mkoko uliomnunulia wewe. Hawa watu wamama watu wazima ni watamu lakini bora uvizie wajane au walioachika utakuwa huru kula papuchi zao mpaka useme sitaki tena watu wazima. Mke wa mtu ni noma