Mauaji Rwanda 1994

hwa jamaa waliuan kinyama sna..
 
Staki kukumbuka nilikuwa mdogo sana ila zile maiti nilizoshuhudia kwa macho yangu sitosahau

yaan alikuwa wakiuwa wanawawekea kwenye limti yaan kama mishikaki afu wanatupa mto kagera au wanawashonea kwenye magunia makubwa wanatupa mtoni dah ee mungu.
 
Very sorry for that
 
Duh! The picture spoiled my morning najuta kufungua jf alfajiri
 
inasikitisha SANA damu zisizo na hatia zilipotea nyingi sana.

ivi kagame alikuwa hana mkono wake kwelii.

Ukiambiwa utoe ' uthibitisho ' wa kumuhusisha Rais Paul Kagame na hayo mauaji utakuwa tayari kutoa ushirikiano Mkuu?
 
watu walibakwa mbele ya familia zao. kuchinjwa mbele ya wapendwa wao.

Jifunze kunyoosha maneno sema kuwa Wahutu waliwabaka Watutsi mbele ya Familia zao na kuwachinja mbele ya Wapendwa wao. Acha uwoga kusema huo ukweli Mkuu. Wahutu ni Watu wabaya sana hapa duniani na ndiyo maana hata Mwenyezi Mungu kawapa ' laana ' mpaka sasa nchi yao haina maendeleo yoyote na amani haipo.
 
Mimi niliangalia movie nadhani ilikuwa inaitwa APRIL tareh nimeisahau nililia hatarii japo sijui kama ilikuwa kweli au kuigiza tuu. Ila ilitisha
 
Kuna kijana alimzika girlfriend wake akiwa hai . Alishikiliwa mitutu na mapanga, kisa?? Wao walikuwa kabila mbili tofauti. Akikumbuka tukio lenyewe huku binti akimlilia, akili huwa zinamruka! So sad!
 
vita ya ukabila.

walaaniwe wahutu au watus?

au walaaniwe waliopandikisa mbegu ya ukabila?

walichezewa akili nakuingiwa mbegu ya chuki ikaota mioyoni mwayo kama wewe sasa chuki ya wahutu imekuingia bila kuwa na logic.
 
Kuna kijana alimzika girlfriend wake akiwa hai . Alishikiliwa mitutu na mapanga, kisa?? Wao walikuwa kabila mbili tofauti. Akikumbuka tukio lenyewe huku binti akimlilia, akili huwa zinamruka! So sad!
MUNGU wangu Tusamehe,
Mbona umeniliza uwiiioeeee auwiiiiiii
 
Duh! The picture spoiled my morning najuta kufungua jf alfajiri
Kuna kijana alimzika girlfriend wake akiwa hai . Alishikiliwa mitutu na mapanga, kisa?? Wao walikuwa kabila mbili tofauti. Akikumbuka tukio lenyewe huku binti akimlilia, akili huwa zinamruka! So sad!
Ona huu unyama mambo yalikuwa mabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…