Mauaji ndani ya msikiti wa Chumo

Tusipo heshimu haki za watu itafika ule wakati wa watu kutumia ile kauli ya I WAS BORN ONCE AND I WILL DIE ONCE. Maanake wamechoka na dhuluma wapo tayari kwa lolote. Binadamu wote ni sawa haki ziheshimiwee
 
Hivi inawezekana kweli ikawa wamefanya bure bila sababu yoyote?
Mbona misikiti mingi kunaswaliwa usiku?
Hakuna fununu yoyote huko wala mtu wa kati?
Wamefanya kimya kimya? Kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…