isije kuwa ni majambazi wa burundi na rwanda. Geita imetawaliwa sana na wahamiaji haramu, ni wengi sana na wale waliokuwa wamefurushwa na operation kimbunga wamerudi wote. operation kimbunga inatakiwa irudi tena ili kusafisha kabisa na wanajeshi washirikishwe kwenye ulinzi na upelelezi wa mambo hayo huko ushirombo. ukitoka ushirombo hadi ufike nyakanazi unashukuru Mungu. kwa wale tuliotoka maeneo hayo tunaua hali halisi ilivyo. majambazi mengi yanatoka burundi na rwanda, na hata wale wa tz maeneo mengine makao yao makuu huwa ni mkoa wa geita.MAUAJI GEITA: IGP E. Mangu leo ametangaza bingo ya Sh10m kwa mtoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa watu waliovamia kituo cha polisi jana usiku mkoani Geita.
Safi sana mkuu kwa kuniunga mkono kuchangia pesa za kufanikisha zoezi hilo. Wengine jitokezeni jamani.na mimi naongeza mil 5 jumla zitakuwa ml 25
Jumlisha mkuu halafu tuambie.Na mimi naongeza lakini sitaji ni kiasi gani!!!
poa na mimi naongeza 5000 hapa itafika 2500500 tsh
na mimi naongeza mil 5 jumla zitakuwa ml 25
Mkuu nina machungu sana na hao 'mbugila'waliotuulia makamanda wetu.Natangaza kuongezea dau la kamandaa mkuu,ntatoa buku jero babake!!!:frusty:Jumlisha mkuu halafu tuambie.
Twende mbele na kurudi nyuma, hv jamani huwa hamuwaoni askari jinsi wanavyokaa kizembe zembe huku wakinywa kahawa kwenye benchi na wakiwa hawana silaha na buti wamevua wamevaa kandambili?? Jamani huwa hamuwaoni? Mbona hili hamlisemi? Sasa unategemea nini? Tukio la kuuwawa askari ni uzembe wao, majambazi matano wao sita, tena wapo kituoni lakini hawakuwa na silaha wameridhika!! Wasipobadilika watauwawa sana, uhamiaji nao wamekuwa wala rushwa wakubwa, wahamiaji haramu hadi wanaingia nchini wanafanya kazi bila kugundulika, rejea makomandoo wa nepal, unategemea nini hapo?
isije kuwa ni majambazi wa burundi na rwanda. Geita imetawaliwa sana na wahamiaji haramu, ni wengi sana na wale waliokuwa wamefurushwa na operation kimbunga wamerudi wote. operation kimbunga inatakiwa irudi tena ili kusafisha kabisa na wanajeshi washirikishwe kwenye ulinzi na upelelezi wa mambo hayo huko ushirombo. ukitoka ushirombo hadi ufike nyakanazi unashukuru Mungu. kwa wale tuliotoka maeneo hayo tunaua hali halisi ilivyo. majambazi mengi yanatoka burundi na rwanda, na hata wale wa tz maeneo mengine makao yao makuu huwa ni mkoa wa geita.