Mauaji Florida Airport, wengi wafariki

Mauaji Florida Airport, wengi wafariki

Majasusi ndo wanapanga mauaji ya idadi hii ni ya kigaidi,ya idadi hii si ya kigaidi?
Nini kinatosha kusema mauaji haya si ya Kigaidi.Unawafyatulia watu risasi unawaua wengi tu,na ikiwa mauaj ya aina hiyo hiyo yakitokea Uturuki yangeitwa ya Kigaidi
Marekani kila shambulio kwao
Wanakuambia sio lakigaidi
Kwingineko haraka kutangaza lakigaidi
 
Marekani kila shambulio kwao
Wanakuambia sio lakigaidi
Kwingineko haraka kutangaza lakigaidi
Media za marekani zinaweza kublind, hili shambulio lingekua limetokea Ulaya like ufaransa wangesema la kigaidi,ila huyo jamaa wanasema 'MAUAJI' NA MUUAJI NI CHIZI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watadanganya hivyo hivyo
Lakini ukweli utajitenga
 
Watadanganya hivyo hivyo
Lakini ukweli utajitenga
Screenshot_20170107-153622.png

Ikitokea mauaj yamefanywa na mmarekani mwenzao basi report ni moja tu 'MENTAL ILL'[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si UGAIDI NI MENTAL ILL
 
Majasusi ndo wanapanga mauaji ya idadi hii ni ya kigaidi,ya idadi hii si ya kigaidi?
Nini kinatosha kusema mauaji haya si ya Kigaidi.Unawafyatulia watu risasi unawaua wengi tu,na ikiwa mauaj ya aina hiyo hiyo yakitokea Uturuki yangeitwa ya Kigaidi
Ana matatizo yake binafsi tu huyo muuaji.more psychological problems
 
Si ya kigaidi kwa duru za awali za kijasusi za Marekani.
Kwa sababu hakusema Allah akbar,hapo ndipo alipokosea.
Teh,acha waendelee kusomeshana namba za caliber .
 
Wanatakiwa kufanya iwe ngumu sana kupata guns. Lakini hawataki kwa sababu wanaouza guns wana power sana. Kwa hiyo matukiyo kama haya yataendelea kila mwezi
 
Kwa sababu hakusema Allah akbar,hapo ndipo alipokosea.
Teh,acha waendelee kusomeshana namba za caliber .
Mauaji kwa kutumia silaha Marekani hayajaanza Leo wala Jana au eti baada ya kujulikana kwa Osama la hasha.

Mauaji yamekuwepo tu ya silaha yanafanyika sana tu ila wewe ulikuwa huna access ya kufahamu,kutokana na ufinyi wa upashanaji habari kwa kipindi hicho tz ingawa siku hadi siku idadi ya matukio inaongozeka.

That's why sheria zao ni Kali ktk utekelezaji kwa Polisi na ukifanya mzaha na Polisi wanakuua usipotii amri zao huku wakisuspect una silaha na hautii unachoambiwa na Polisi.
 
Heading kiswahili then habari imeandikwa na lugha iliyopanda ndege [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Back
Top Bottom