Maua

Maua

Hili linaitwa HIBISCUS, Je hayo mawili mengine yanaitwaje?

Kwa kweli jina sijui ila hili moja la njano lipo kwenye miti inayostawi yenyewe na ipo kila sehemu hapa Dar Es salaam hata ukipita barabarani unyaona kwa wingi ,ukiona mti una viuwa vingi vya njanonjano ndio hivyo,Wanyakyusa huuita huo mti Samundelele na mauwa yake hupendwa kuitwa Ubelenge ni miti ya asili na maganda yake ukichoma mbu hufa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom