Matusi ya Makongoro yachafua hali ya hewa Dodoma

Matusi ya Makongoro yachafua hali ya hewa Dodoma

Inasemakana toka kampeni zianze Lowasa ametukanwa kwenye majukwaa ya ccm mara 121 kama na hilo limetokea litakuwa la 122 ambalo litakuwa limetimiza wastani wa matusi zaidi ya 5 kila siku POLE SANA LOWASSA

123 jana ametukanwa tena na sadifa juma "anatokwa na mikojo"
 
Hali hiyo ilijitokeza jana ambapo Makongoro Nyerere kuweka sera za CCM pembeni na kuanza kutoa kashfa kwa wagombea wa vyama vya siasa hususani Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa na mgombea Ubunge Benson Kigaila.

sema ilikuwajeee?? alizomewa or??
 
Makongoro utadhani mtoto wa mitaani hata hekima ndogo ya baba yake hana japo amekulia ikulu ni aibu sana kwa taifa la tz

…unategemea nini kutoka kwenye kichwa cha mtu kilicho jaa pombe kikinadi pombe!!!!???…
 
Jamabi sisi tuangalie vichinjio tu. Ccm wamepaniki
 
Watoto wengi wa Waongoza nchi waliojiingza kwenye siasa akili zao fyatu, we anza na yule aliekaa US miaka mingi utaona akili zao sawa
 
Waliomuweka kwenye timu ya kampeni ndio hawana busara kabisa.
 
Recycling of matusi wengine majukwaani wengine mitandaoni. . . .
 
Sijajua kwa nini tangu kampeni zimeanza jamaa kakomalia matusi na mipasho tu. Inanishangaza sana.? Sijui ni IQ ndogo au nini.? Kwani akipanda jukwaani akisema ccm itafanya 1 2 3 nk atapungukiwa nini.!?

IQ yake ipo tungid tena full pombed.
 
Ni mtoto wa mitaani haswa ndio maana limeishia kuwa levi na kulelewa na mkewe..we mtu anazaa zaa hovyo na wauza gongo na ma house girl unamuona mzima huyo?

Alaa!Kumbe tunasumbuka na mtu mwenye laana?Hebu futeni huu uzi tujadili mambo yq maana si kupoteza muda kumchagulia mwendawazimu chakula.
 
Waliomuweka kwenye timu ya kampeni ndio hawana busara kabisa.

Sasa kama hicho ndio kichwa kuliko wao hao wazee wa Lumumba ina maana Lumumba hakuna vichwa.Nazidi kumuelewa mzee Kingunge.
 
Sasa kama hicho ndio kichwa kuliko wao hao wazee wa Lumumba ina maana Lumumba hakuna vichwa.Nazidi kumuelewa mzee Kingunge.

Na sasa ni vema tufanye mabadiliko.Taifa kuongozwa na taasisi(chama)kilichojaa wendawazimu huwezi kutarajia maendeleo.watanzania wazinduke .mchagueni LOWASA na wagombea wa nafasi mbalimbali kupitia UKAWA tuijenge upya Tanzania.
 
Back
Top Bottom