Matusi ya Makongoro yachafua hali ya hewa Dodoma

Matusi ya Makongoro yachafua hali ya hewa Dodoma

Mtu mzima kama yule lazima ni stress zinamuandama.Nakuhakikishia watu wanamsaidia kule nyumbani.

Yeye mwenyewe hajui CCM itafanya nini, maana miaka yote wamesema watafanya mengi saana lakini wametekeleza sifuri. Kwa hiyo anaona badala ya kuahidi ambayo tayali mengi walishayaahidi, anaona ni bora aje na jambo jipya ambalo ni matusi.
Inaonesha kuishiwa sera
 
Sijajua kwa nini tangu kampeni zimeanza jamaa kakomalia matusi na mipasho tu. Inanishangaza sana.? Sijui ni IQ ndogo au nini.? Kwani akipanda jukwaani akisema ccm itafanya 1 2 3 nk atapungukiwa nini.!?
To be more precise, mention what he said.
 
Hali hiyo ilijitokeza jana ambapo Makongoro Nyerere kuweka sera za CCM pembeni na kuanza kutoa kashfa kwa wagombea wa vyama vya siasa hususani Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa na mgombea Ubunge Benson Kigaila.
Your thread is not authentic and has no provable evidence.
 
Back
Top Bottom