Matusi baada ya kumfungulia mpenzi wake facebook

Matusi baada ya kumfungulia mpenzi wake facebook

Habari yako haijakamilika..

Jamaa alijuaje kama ww ndio uliefungua acc ya fb kwa mpenzi wake?

Btw, ww kama mwanaume utatishwaje na kidume kingine bana?

Huu ni udhaifu bana!!

Muite pembeni mwambie excel wa jf hajapenda hiyo tabia yake!
 
mwambie unamfungulia na twita, instagramu, wasap, vaiba, jf, my space nk ili atukane zaidi
 
wivu wa mapenzi ni noma..jamaa anajua ulisha mega.
Unakosa la kuhusisha taarifa zako,,
 
"Tulipo endelea, tuliwaona maelfu ya watu kwenye
mateso,Wakati roho inapo mwona Bwana,
zilijitahidi kumfikia kwa mikono isiyo na
ngozi.Nilimwona mwanamke aliye anza kupiga
makelele alipo mwona Bwana Yesu. Alilia, "Bwana
tafadhali nirehemu! nitoe mahali hapa!" Alikuwa
akiteseka sana na aliunyoosha mkono wake kwa
Bwana.Aliendelea kumwomba Bwana amtoe eneo
lile hata kwa sekundr moja.
Alikuwa yuu uchi kabisa na alifunikwa na tope.
Nywele zake zilikuwa ni chafu na minyoo ilikuwa
ikijongea mwilini mwake .Alijaribu kuiondoakwa
mikono yake lakini kila alipo mwondoa mmoja
mingine ilijizisha zaidi.Minyoo ilikuwa na urefu
karibu inchi 6-8.Neno la Bwana linasema katika
Marko 9:44, "Ambamo humo funza wao hafi, wala
moto hauzimiki."
Ilikuwa ni ya kutisha sana kumwona mwanamke
huyu na kusikia kilio chake kwa jinsi minyoo ile
kwa hasira ilivyo kuwa inaila nyama za mama
huyu. Kulikuwepo na bango la chuma lililo kifuani
mwake ambalo lisingeweza kuharibiwa na moto.
Lilisomeka , "Nipo hapa kwa ajili ya Uzinzi." Kwa
jinsi ile ile ya dhambi yake, mwanamke huyu
alilazimishwa kufanya uzinzi kuzimu na nyoka wa
kutisha mnene..Nyoka huyu alikuwa na miiba
mikubwa kuuzunguka mwili wake, ni kama ya
uerfu wa inchi 6-8 hivi.Nyoka humwingia mama
hyu sehemu zake za siri na kusafiri hadi mwilini
mwale hadi kwenye koromeo lake. Nyoka alipo
mwingilia hivi, alianza kulia kwa makelele .
Alimwomba Bwana kwa nguvu sana amtoe eneo
lile, "Bwana, nipo hapa kwa ajili ya uzinzi,
nimekuwepo hapa kwa miaka 7, tangu UKIMWI
ulipo niua. Nilikuwa na wapenzi sita6, na nipo
hapa kwa ajili ya uzinzi." Kule kuzimu alitakiwa
kuirudia dhambi yake tena na tena.
Hakuna kupumzika usiku na mchana, akiteseka
kwa jinsi ile ile kila mara. Alijaribu kuunyoosha
mkono wake kwa Bwana, lakini Bwana
alimwambi, "Blanca, kwako tayari umechelewa.
Minyoo itakuwa ni kitanda chako, na minyoo
itakufunika." (Isaya 14:11) Wakati Bwana alipo
sema maneno hayo, blanketi la moto lilimfunika,
na siku mwona tena."
TUACHE ZINAA TUFUNGE NDOA NI UJUMBE KWA
VALENTINE DAY
 
Siku mbili zilizopita mtaani kwetu hasa katika sehemu ninayoishi yaani nilipopanga niliombwa msaada wa kufungua facebook account, dada kanifuata na kuniaambia tafadhali naomba unifungulie facebook account kwani mimi sifahamu!

Sikua na kipingamizi nikaifungua lakini katka harakati nilijikuta ninaingiza email yangu ili kuhakiki.

MAJANGA;

Baada ya siku mbili hizo yaani leo hii ya alhamis nikapokea ujumbe wa kashfa na matusi kutoka kwa bwana wa dada yule jamaa akidai, kwa nini nimechukua jukumu la kumfungulia demu wake facebook?

Katika kujitetea jamaa alizidi kuporomosha matusi juu yangu akizidi kusisitiza hakutaka demu wake awe na facebook hivyo kwa nini sikumuuliza kabla? nilijaribu kumuelewesha lakini wapi ilihali mimi simfahamu na wala sijui kama huyo dada alikatazwa kuwa na facebook.

Je kosa la nani?

Nisaidien mawazo.

tatizo madem wanasumbua sana ...mi nishawahi kumfungulia wangu nikam add kwangu, sasa ye akawa ha comment kitu chochote ...kazi yake ikawa kuangalia profile yangu na friends wangu na comment za akikuta neno ''dear'' au picha ya demu mkali ilikua ni kesi ya siku mbili..ndo maana nikaachana na fb nikajikita huku tusikojulikana ...usimlaumu sana jamaa
 
Kosa lako ni kwanini utumie email yako kufungua account ya mtu mwingine?
nionavyo mimi, wew ndo umeainisha kosa lake haswaaa, acha wengine wanaomtia kiburi eti hajakosea. hayo yote angeyajua vp kama asingetumia email yake. huyu jamaa ----- sana, dem wa mtu mwingine we bize kumfungulia fb accnt, inakuhusu nini. ulishindwa nin ku sign-up email accnt ya huyo dem fasta then ndo umfungulie, huna maana kabisa, tena jamaa yupo sahihi hata akikuhisi kuwa una lako jambo na dem wake ni sahii kabisa. tena usirudie kabisa...ebo.

be a man bhana, madem usiogegeda kuwa nao karibu kwa nin!..
 
Back
Top Bottom