Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,047
Habarini Wana Jf
Kiukweli mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Kitendo hiki Cha Diamond platnumz kutoa mkono wa EID kwa mikoa mitatu kinaonesha maana kamili ya kuwa msanii Ni KIOO CHA JAMII na kwa mantiki hii hatuna budi kuukubali ukwlei na kusema kuwa anastahiki heshima zaifia ya anayopewa
Pia hii inadhihirisha kuwa Ile list ya matajiri ilitoloewa kimakosa maana angefaa kuwa msanii Tajiri namba moja kwa kitendo hiki anachoonesha.
Hakuna msanii yeyote ambaye amefanya Kama ambavyo Diamond platinumz anafanya kwa kurudisha kwenye jamii Africa mzima na hata duniani Kama sijakosea.
Kwa hiyo itapendeza kwa kumsapoti kinaga ubaga Kama mkombozi wa tasinia ya Sanaa(Muziki) na jamii kwa ujumla.
DIAMOND PLATNUMZ NI REAL DEAL as a G. O. A. T IN AFRICA AND THE WHOLE WORLD.