Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,520
- 2,059
It's not GOAT it's G. O. A. T(Greatest Of All The Time) so usikate FUVU
[emoji23]
Baba Yake unamjua kuliko mama Yake mzazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji119]Kama ameshindwa kumjengea BABA YAKE hakuna afanyalo. Ukweli ni kwamba yule ni BABA YAKE NA ANAPASWA KUMSAIDIA KULIKO KUSAIDI WATU KWA KIKI.
Ile GARI, na Ile NDEGE zishafika? Vp nyumba 126 keshapaka Rangi? Vp ashalipia wale watu 500 pango?It's not GOAT it's G. O. A. T(Greatest Of All The Time) so usikate FUVU
Diamond platinumz ndio kijana under 40 billionaire kwa TANZANIA kwahiyo hivyo kwake Ni vitu vidogo ana zaidi ya USD 15 million kwahiyo ashindwi soon JET, ROLLS ROYCE ZINATUA nyumba kapangisha na kalipia over watu zaidi ya 1000Ile GARI, na Ile NDEGE zishafika? Vp nyumba 126 keshapaka Rangi? Vp ashalipia wale watu 500 pango?
Aache kiki za kifala kuongopea watu.
Hata hiyo 500M hajawahi kuwa nazo CASH/BANK. Watu kama ww ndio hudanganywa na mtu kama yule. Vijana kibao mjini wana maisha kuliko huyo. Usifananishe umaarufu na PESA.Diamond platinumz ndio kijana under 40 billionaire kwa TANZANIA kwahiyo hivyo kwake Ni vitu vidogo ana zaidi ya USD 15 million kwahiyo ashindwi soon JET, ROLLS ROYCE ZINATUA nyumba kapangisha na kalipia over watu zaidi ya 1000
Tuliahalafu baba yake anashindia mihogo
Hii ndio dunia
halafu baba yake anashindia mihogo
Hii ndio dunia
Na wewe una utajiri kiasi gani? Au wanao utakuja kuwaachia urithi hizi thd unazoanzisha JF kila kukicha za kujikomba kwa mwanaume mwenzio?Diamond platinumz ndio kijana under 40 billionaire kwa TANZANIA kwahiyo hivyo kwake Ni vitu vidogo ana zaidi ya USD 15 million kwahiyo ashindwi soon JET, ROLLS ROYCE ZINATUA nyumba kapangisha na kalipia over watu zaidi ya 1000
Shukrani sana kiongozi
Wewe ni mama Sandra?Kama ameshindwa kumjengea BABA YAKE hakuna afanyalo. Ukweli ni kwamba yule ni BABA YAKE NA ANAPASWA KUMSAIDIA KULIKO KUSAIDI WATU KWA KIKI.
Kama alimkuta na mimba na akawa analea mimba huyo ni BABA YAKO. UBABA SIO SHAHAWA TU HATA MTU AKILALA NA MAMAKO WAKATI WA UJAUZITO WAKO NA AKAMPELEKA MAMAKO CLINIC HUYO NI BABA.Wewe ni mama Sandra?