Mercy,Im looking for a serious relationship .Matured single christian Man for holly marriage .
Must be a reformed Christian [Born Again]
Aged 40 to 45 ,with no kids / not more than one kid
Awe na Afya njema
Awe mwenye na nia ya dhati ya kuoa
Awe amemaliza ujana wake na anahitaji kusettle na kutengeneza familia
Awe mkweli na mcha Mungu
Awe dsm ,dodoma,morogoro,tanga
Naitwa mercy ,30s by age
Naishi pwani kibaha,mkristo nimeokoka
Mwajiriwa ,najitegemea ,
Only serious please .
Vigezo na masharti kuzingatiwa .mm ndo najua nataka nini so kaa kwa kutuliaUmri huo tayari washaoa, punguza umri na hilo la born again; as long as ni mkristo inatosha.
Wewe ndo uko late ,ndo maana mwanaume mzima baada ya kufanya kazi unajikomentisha .Too late
Una mtoto??Im looking for a serious relationship .Matured single christian Man for holly marriage .
Must be a reformed Christian [Born Again]
Aged 40 to 45 ,with no kids / not more than one kid
Awe na Afya njema
Awe mwenye na nia ya dhati ya kuoa
Awe amemaliza ujana wake na anahitaji kusettle na kutengeneza familia
Awe mkweli na mcha Mungu
Awe dsm ,dodoma,morogoro,tanga
Naitwa mercy ,30s by age
Naishi pwani kibaha,mkristo nimeokoka
Mwajiriwa ,najitegemea ,
Only serious please .
Kaa mbaliUna mtoto??
Sisi wenye watoto watatu na mama tofauti inakuwaje??
Ee ndoa takatifuHolly marriage..๐๐๐๐
Na uokoke ๐ TAG na washirika Kuna chakula hukuHolly marriage..๐๐๐๐
Njoo kwa Yesu analipa my brotherSisi waislamu tunabaguliwa nchi hii hadi kwenye ndoa
Mfumo Kristo is real!๐
Nipo kibenten Sina kazi Wala mtoto nina mapenzi mazuriIm looking for a serious relationship .Matured single christian Man for holly marriage .
Must be a reformed Christian [Born Again]
Aged 40 to 45 ,with no kids / not more than one kid
Awe na Afya njema
Awe mwenye na nia ya dhati ya kuoa
Awe amemaliza ujana wake na anahitaji kusettle na kutengeneza familia
Awe mkweli na mcha Mungu
Awe dsm ,dodoma,morogoro,tanga
Naitwa mercy ,30s by age
Naishi pwani kibaha,mkristo nimeokoka
Mwajiriwa ,najitegemea ,
Only serious please .
Ndo dawq yaoUzi mmoja wa kibabe sana..halafu mtoa mada nae hajakaa kinyonge yanii๐คฃ
Ukileta fuoko unakula za usoo๐คฃ
Kwa gubu hili, huambiliki ndio maana unarandaranda mitandaoni. Baki na gubu lako hadi utakapotaka anaepumua tu. We ungekuwa born again si ungepata huko kanisani kwako ila gubu dada ndio maana unakimbiwa.Vigezo na masharti kuzingatiwa .mm ndo najua nataka nini so kaa kwa kutulia