Ndugu zangu wapendwa,
Ninapenda kutoa shukrani za dhati kwenu kwa sapoti na msaada wenu mkubwa mlionipa hadi kufanikisha kupata tenda ya Tigo YAS ya kubandika mabango. Ingawa tenda hiyo imeisha, imenifungulia njia na kuniongezea imani kubwa katika kazi zetu.
Naomba kuendelea kuwaombea ushirikiano wenu ili mkiwa na nafasi, kazi au tenda yoyote, msisite kunifikiria. Nipo tayari kushirikiana kwa uaminifu, weledi na bidii kubwa katika kazi yoyote nitakayopewa.
Msaada wenu ni wa thamani kubwa kwangu, na naamini kwa pamoja tunaweza kufanikisha mambo makubwa zaidi.
Asanteni sana kwa upendo na sapo
ti yenu.