Matunda ya jukwaa hili

Matunda ya jukwaa hili

Sababu ya kujitetea haiwezi kukosekana. Kinachohitajika ni madogo kulipwa stahiki zao, sio maelezo.
Kaka mbona unakuwa mgumu kuelewa wew si ndo ulienipatia namba , embu angalia mwenyew ,
 

Attachments

  • Screenshot_20250818-172529.png
    Screenshot_20250818-172529.png
    459.7 KB · Views: 14
Ndio. Kwa maelezo ya madogo, hao yas wanalipa kwa hawa supervisors(waliopewa tenda) . Kuna wanaosema hela ishatoka lakini hawa jamaa waliopewa tenda ndio wamewapiga madogo walioingia field kupiga kazi
Dah so kuna uwezekano na huyu alikuwa supervisor?
 
Mim nilikuwa mbandikaji , sio supervisor na pesa yangu ya siku Moja sijalipwa na hao watu nikiwapigia simu hawapokei , ila ofisi zao zipo sinza
Jifunze namna ya kujua kujielezea kwa usahihi. Utakuja kuhukumiwa kwa kosa ambalo haujalifanya.

Hata hivyo, nashukuru sana pale jitihada zangu zinapofanikisha kumsaidia kijana mwenzangu. Ushauri wangu, kwa wakati huu ambao bado unapambana usichague kazi, usipoteze muda na rasilimali ku-maintain mahusiano na mwanamke pia usilazimishe kuishi kwa standard ya juu zaidi ya uwezo wako
 
Jifunze namna ya kujua kujielezea kwa usahihi. Utakuja kuhukumiwa kwa kosa ambalo haujalifanya.

Hata hivyo, nashukuru sana pale jitihada zangu zinapofanikisha kumsaidia kijana mwenzangu. Wakati huu ambao bado unapambana usichague kazi
🙏 Nashukuru kaka wew ndo ulinifanya nikapata hio nafasi , endelea kuwa na moyo huohuo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom