- Thread starter
- #61
Maji ya tangawizi would be right...naweza tia sukari pia?
Yeah waweza
Maji ya tangawizi would be right...naweza tia sukari pia?
KWA MATUNDA NI VANILLA N VANILLA ONLY🙂 ....ILA ICECREAM TUPU YYT MI NAKULA ISIPOKUA DARK CHOC (LKN SINA HAKIKA KWA AMBAZO SIJAWAHI KUTASTE:smile-big: )
Farkhina unanitia hamu niko Rufiji kijijini kabisa kikazi namiss kila kitu
Mbona hujaweka makatapera na ndizi kwenye fruit salad yako?