Matunda haya yanaitwa tamarillo asili yake ni milima ya Andes katika nchi za Peru, Chile, Equador, Colombia na Bolivia. Yanalimwa sana kibiashara nchi ya New Zealand ambapp wanasafirisha nje kama tani 2000 kwa mwaka.Haya kwa kiswahili yanaitwaje?
Kwetu Lushoto yanaitwa "magoghwe". Kisambaa na Kipare. Kiswahili chake sijui. Ni jamii ya nyanya chungu. Unayachoma unatafunia ugali. Dah, home sweet home!!!