Matumla na kaptula la Hasheem Thabit

hahahahaaaaa kazi kweli kweli. mganga alimwambia nini?
 
yaani nimeangalia hii heading na hiyo avator yako imebidi nicheke tu
 
yaani mie usingizi woote umeisha kwa vicheko.uwiii,hana hata manager?
<p>
Ra<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/happy.gif" border="0" alt="" title="Happy" smilieid="196" class="inlineimg" />ha kweli, wacha nikalale.
</p>
<p>&nbsp;</p>
 
Ah! hahahaha aisee hiyo kitu self-container ina kila kitu ndani.
 
utani mwingine bwana....sitii neno mwenzio mbavu zangu nyepesi
 
Maisha magumu jamani, hata fedha zakununulia kaptula nzuri hakuna? We acha tu!
 
Nashukuru sana! Maana nina malaria sijacheka tangu asubuhi mpaka nilipoiona hii picha na avator ya mletaji! Lol!
 
Amependeza lakini kwa mbali utadhani yupo kenye mzani wa kliniki
 
Nani alibondwa kwani? hilo ndo la muhimu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…