Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,856
- 89,755
Bora atumie mwanamke sio jamaa lenye midevu yake
Hakuna hata ubora kuweka x badala ya s inakera akitumia jinsia yoyote
Bora atumie mwanamke sio jamaa lenye midevu yake
Sipendiiiii ! Unakuta baba zima limekazana xaxa badala ya sasa,😏😏😏😏fyuu.
Kwanini hujasema janamke zima lenye maziwa kama ndala ihali hata mtoto mmoja halina?
Inasemaje hiyo pm?Kuna PM nilikutumia, naona umeichunia.
Jamani kulwa...!!!Hakuna hata ubora kuweka x badala ya s inakera akitumia jinsia yoyote
Inasemaje hiyo pm?
😂 😂 😂 😂 😂Kwanini hujasema janamke zima lenye maziwa kama ndala ihali hata mtoto mmoja halina?
kitu kidogo sana bhana wacha ****.IND , mind your bussinesSipendiiiii ! Unakuta baba zima limekazana xaxa badala ya sasa,fyuu.
Na wewe ungeanzisha uzi wako unaosema hayo
Hii ni abuse...kwani ndevu zetu zinauhusiano gani na mwandiko.Bora atumie mwanamke sio jamaa lenye midevu yake
Mie huwa nafanys hivyo kuweka swagga eti mkuu...kumbe huwa nakera eeehutasikia
me:babe mbona hutokei xaxa
ke:nakuja sasa hivi
me:tanteee
ni kero kabisa
Umama?Kutumia x badala ya s ni swaga ya wanafunzi especially hawa ambao ndo wanazijua simu..
Mtu mzima kufanya ivo kwa jinsia yoyote ni u mama