Matumizi ya ugoro yamezidi kwa sasa

Matumizi ya ugoro yamezidi kwa sasa

true movie

Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
30
Reaction score
12
Kama kichwa cha habari kilivyo ..kwa sasa kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kutumia hii kitu ugoro, nina maswali kwa wanaJF.

1.nataka kufahamu madhara ya hii kitu maana nahisi vijana wanahangamia

2. Mbona serikali haipigi marufuku hii kitu na kukamata wamasai wote wanaofanya hii biashara coz asilimia 99 ni wao

3.je ni kweli masai wanachanganya na kinyesi kikavu cha binadamu katika kuleta stimu kali ya ugoro !

Naomba majibu ya maswali yangu maana midomo ya vijana sasa hivi meno ya chini yote yamebadilika rangi na mdomo wa chini unakua mrefu kushinda wa juu !!

Nawasilisha
 
Nimecbeka kweli lol yani hata ujinga tunaiga unakuta mkaka yupo smart na pafume nzuri ya bei juu lkn mdomoni kabumba ugoro ni sheeeda.
 
Asante mkuu umenikumbusha ugoro wangu....
Ngoja nibwie kidogo nipate stimu ya kuchangia huu uzi....
 
mie Karucee ugoro ulinitia kizungu zungu nikapiga mwereka. Sikurudia tena!
 
Last edited by a moderator:
Kama kichwa cha habari kilivyo ..kwa sasa kumekua na wimbi kubwa la vijana kutumia hii kitu ugoro nina maswali kwa wana jf 1.nataka kufahamu madhara ya hii kitu maana nahisi vijana wanahangamia 2. Mbona serikali haipigi marufuku hii kitu na kukamata wamasai wote wanaofanya hii biashara coz asilimia 99 ni wao 3.je ni kweli masai wanachanganya na kinyesi kikavu cha binadamu katika kuleta stimu kali ya ugoro ! Naomba majibu ya maswali yangu maana midomo ya vijana sasa hivi meno ya chini yote yamebadilika rangi na mdomo wa chini unakua mrefu kushinda wa juu !! Nawasilisha

El Che ni mmoja was waathirika,nafikiri wamasai wanamchanganyia na ya vyoo vya stendi
 
Last edited by a moderator:
Kama kichwa cha habari kilivyo ..kwa sasa kumekua na wimbi kubwa la vijana kutumia hii kitu ugoro nina maswali kwa wana jf 1.nataka kufahamu madhara ya hii kitu maana nahisi vijana wanahangamia 2. Mbona serikali haipigi marufuku hii kitu na kukamata wamasai wote wanaofanya hii biashara coz asilimia 99 ni wao 3.je ni kweli masai wanachanganya na kinyesi kikavu cha binadamu katika kuleta stimu kali ya ugoro ! Naomba majibu ya maswali yangu maana midomo ya vijana sasa hivi meno ya chini yote yamebadilika rangi na mdomo wa chini unakua mrefu kushinda wa juu !! Nawasilisha

Lyamber mkemwema midomo yenu ya chino mirefu,Acheni ugoro pamoja na kahtaan
 
Last edited by a moderator:
ukiona m2 anachangia hii page ujue yupo kundini. Utakuta hadi wafanyakazi wazito serikalini wanatumia
 
Kama kichwa cha habari kilivyo ..kwa sasa kumekua na wimbi kubwa la vijana kutumia hii kitu ugoro nina maswali kwa wana jf 1.nataka kufahamu madhara ya hii kitu maana nahisi vijana wanahangamia 2. Mbona serikali haipigi marufuku hii kitu na kukamata wamasai wote wanaofanya hii biashara coz asilimia 99 ni wao 3.je ni kweli masai wanachanganya na kinyesi kikavu cha binadamu katika kuleta stimu kali ya ugoro ! Naomba majibu ya maswali yangu maana midomo ya vijana sasa hivi meno ya chini yote yamebadilika rangi na mdomo wa chini unakua mrefu kushinda wa juu !! Nawasilisha

Cc OLESAIDIMU atakuwa mdau
 
Jf bhana!kaazi kweli kweli!
 
Mkuu ni kweli vijana wadogo unawakuta wanakula ugoro kama mama yeyo wanafunga kwene kilailoni sjui wanafaidika na nini na hii kitu
 
Back
Top Bottom