Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 921
project za kulipwa kwa saa ( mf: 30USD/hour) ndiyo zenye time tracking, kuna desktop software yake, una track masaa uliyofanya kazi, ukimaliza inakokotoa inakupa figa ya mkwanja, client analipa au inalipa automatically ( kama client ame enable automatic billing )Habarini jamani naomba kujuzwa kama kunakuwepo na matumizi ya time tracker Katika kazi za fixed price huko upwork na freelancer.com.
ndiyo, hii ni fixed, yawezakua bajet ya employer ni USD 500 , ila platform inaweka kwa range ie: $250-$750Napia ningependa kujuzwa kuwa kazi za freelancer.com ambazo ni fixed price ndo hizi Zinazoandikwa kwa range mfano $250 - $750 USD
hapana, ushasema 'fixed'Asante Sana mkuu kwahiyo sitahitaji kabisa time tracking kwenye fixed price jobs
Aaa siwezi mwambia mm napenda hiyo hiyo fixed coz hiyo time tracking software Ina window os na Mac os na mm ni Android userhapana, ushasema 'fixed'
ila unaweza mwambia client abadili iwe 'hourly paid project'
Mm kuni dai hawajanidai ila nahofia waki nidai wakati pesa ipo kwao maana kutoa mbaka usd 20Fiverr omba passport Kwa mwenye nayo akusaidie uverif identity (KYC), hata Mimi nilikutwa na tatzo kama lako, ila nikafanikiwa kulisolve Kwa namna hiyo. Mpaka sahv napiga job fresh Fiverr baada ya kuverify
Passport ya mtu watakubali kweliFiverr omba passport Kwa mwenye nayo akusaidie uverif identity (KYC), hata Mimi nilikutwa na tatzo kama lako, ila nikafanikiwa kulisolve Kwa namna hiyo. Mpaka sahv napiga job fresh Fiverr baada ya kuverify
Mi walikubali sahizi nipo level 2 Fiverr wakati huo wamesuspend temporary account yangu nilikuwa new seller,Passport ya mtu watakubali kweli