Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,283
- 108,292
Kwani Ww Sio Mbongo?
mbongo asiye na simu kama zenu hizo...
Kwani Ww Sio Mbongo?
Kuna Siku Npo Kwenye Fastjet Mbeya To Dar Mhudumu Pamoja Nakumuelewesha Kwamba Simu Yangu Ina Flight Mode Ila Bado Aliningangania Ni Switch Off.
Wabongo hatuaminiki ..!
Alikuwa na haki ya kukulazimisha /kukusihi uzime kimeo.
mbongo asiye na simu kama zenu hizo...
Nimecheka sana ulijuwaje sasa km cm zao ni tofauti na yako
Huwa wana hisi kwamba unaweza kuwasiliana na magaidi a.k.a boko haramu
Hayo mambo ya kizamani wakati teknolojia bado changa
hivi sasa imebaki mazoea hakuna muingiliano wowote labda kupunguza kero kwa abiria wenzako tu na hilo wangewaelewesha watu watumie text na internet na sio voice calls
Ndege za kisasa zinaprovide WIFI na Voice call kupitia Sattelite..mfano ni hizi Boeing A380
Labda ndege zetu ni chakavu na za kizamani!
Uelewa wa Cabin Crews pia ni tatizo hawana exposure kubwa..kuna baadhi ya states Marekani hivi sasa simu za mkononi zimeruhusiwa wakati wa take off na landing kwani mara nyingi kwenye umbali mrefu angani simu hazipati network ya ardhini
kuna sehemu huko angani kuna network mkuu vp ulishwahi kupanda ndege kwanzaKwanza huko angani utatumiajr hyo simu wakati hata network.hamna tehhhh
kwa ndege hz za bongo
Oya unaondoka lini? Umekata ticket tayari au uta drive mwenyewe?tungeenda kula bata na ndege
Oya unaondoka lini? Umekata ticket tayari au uta drive mwenyewe?
kuna sehemu huko angani kuna network mkuu vp ulishwahi kupanda ndege kwanza
Siyo take off na landing tu mkuu, hata angani bado pilot na 1st officer wake huwa wanawasiliana na points watokako na waendako ili kujua mambo mbalimbali kama hali ya hewa, muda wa kutua, u-bize wa uwanja, n.k. Sasa flight mode hairuhusu simu kuwa ktk mtandao hivyo haisumbui kuingilia mawasiliano. Ukiwa ktk flight mode unaweza kuendelea na mambo mengine ktk simu yako kama calculator, kusikiliza miziki, kuangalia na kupanga picha, n.k.kwa kawaida unapaswa kuiweka kwenye "flight mode" yaani kwenye mode ambayo "network" itakuwa off.lakini kutokana na uzito wa uelewa wetu ndo maana huwa tunaambiwa tuzime.kwa kawaida tunapaswa kuzima wakati wa kupaa "takeoff" na wakati wa kutua "landing".ila ndege itakapokuwa imetulia angani 35,000ft or above unaruhusiwa kutumia simu,ila kwa bahati mbaya sana kwa umbali huo kutoka ardhini katika maeneo mengi huwa network haipatikani.
Hivi kwanini ukipanda ndege zetu za hapa bongo huwa wahudumu wa ndege wanakulazimisha kuzima simu......wakati simu nyingi huwa zina flight mode .....
Kwa kuwa ninyi wabongo ni washamba kiasi kwamba mkiambiwa flight mode hamjui, pia wengi mnatumia vitochi visivyo na flight mode...
ulitokea wapi na ukaenda wapiNimewahi kupanda jomba.... Sikupata network mpka nafika