Matumizi ya simu katika Mahusiano

Mke wangu nilimkataza kuchungulia simu yangu lakini akawa king'ang'anizi. Siku moja akakutana na sms niliyotumiwa kimakosa na rafiki yangu wa kiume, aliituma sms hiyo muda mfupi baada ya kuongea naye kwa simu. Alikuwa akipata kilaji wakati akichat na mpenzi wake kwa sms akajisahau akanitumia mimi badala ya mpenzi wake. Wife alipoiona hiyo sms yenye mabusu makali akajua ni mwanamke amenitumia, akwa anapiga ile namba ikawa haipatikani. Akahamaki sana na ugomvi ukaibuka ndani, kila nilipojaribu kumueleza akawa anadhani najitetea tu. Nikampigia rafiki yangu kwa namba nyingine na kuumpa simu aongee naye, alijidharau sana na kuniomba msamaha kwa kunifikiria vibaya na kunirushia maneno makali!!!
 
kwa nini?!

safi sana Chimunguru endeleeni hivyo hivyo, presha zaidi za nini wakati maisha yenyewe tu ni presha tosha
...vip,hane muun umeimaliza salama?au bado MAPAMBANO YANAENDELEA?
 
fone zina vimbwanga eeh....

Vimbwanga mnavitaka nyie wanawake. Kama si vimbelembele vyenu, Sucurity code au call barring wala tusingevijua. Leo wife anaenda kuachiwa simu alale nayo atakavyo!
 
hehehe!
kamsome vizuri

ndo maana hata mwanajamii alipata stroke akauliza hivi:


..na ndo maana hata x-pin aliconcludii:


STUKA MPWAAA!pale hamna kitu nakwambia
mmmmmmmmmmmmh, naomba nimjibu MJ1 kuwa Chimunguru ni HE
 
 
kuna hizi simu za kisasa zina finger print access code!.

Mama yangu wee!! mtu akiwa na hiyo posibility ya kucheat ni 100 pasenti, labda ndio maana Mr Woods haku nunua kama hiyo
 

Hukumpiga ban kwenye access?
 
na wasiwasi endapo angepiga na kusikia kidume kinaongea, ANGEZIMIA. kwa kua angejua hana mume, mume amekua sio rizki, lols.
 
Ni haki yake. Na wewe unakamata simu yake? Hupati shoti?

haki yake kwa provision ipi??????? sina haja na simu yake kisa cha kupata degedege mtu mzima???
 
vimbwanga mnavitaka nyie wanawake. Kama si vimbelembele vyenu, sucurity code au call barring wala tusingevijua. Leo wife anaenda kuachiwa simu alale nayo atakavyo!
kweli kichaa kapewa rungu. Kazi kweli kweli.:d
 
si kwa ubaya, sometime nataka tu kujua kama kama hubby bado analipa, yani kama kuna vidada vinamshobokea au vp ili nijue thamani yake niongeze manjonjo. inaitwa self assessment.


mmh ngoja nikupe benefit of doubt🙄
 
haki yake kwa provision ipi??????? sina haja na simu yake kisa cha kupata degedege mtu mzima???
wewe unafaa!infact huyo jamaa yako ASINGEKUWOWA mimi ningekuchukua JUMLA JUMLA ukaungana na dada zake x-pin (watatu),na babylove na wewe
 
wewe unafaa!infact huyo jamaa yako ASINGEKUWOWA mimi ningekuchukua JUMLA JUMLA ukaungana na dada zake x-pin (watatu),na babylove na wewe

kwa wewe mpwa mi bora nikae single for life maana utaniua kabla ya siku zangu!!!!!
 

Na wewe kisa na mkasa wa kutoidelee hiyo sms ya mwanaume mwenzio ni nini kama si kutafuta ugomvi kwa nguvu?
 
kwa wewe mpwa mi bora nikae single for life maana utaniua kabla ya siku zangu!!!!!

nitakuua vipi?
mimi haki ya mungu sijawahi kumpiga mwanamke!
 
 
...vip,hane muun umeimaliza salama?au bado MAPAMBANO YANAENDELEA?

hane muni huwa haziishagi bana,
utaona mwenyewe ukiingia kundini, saa ya kununa zinapumzishwa wakati wa vicheko zinaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…