MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
Let me tell u a secret...........No man is a better man, we r all the same, bileave me you!!!! I hope have no plans to run up or down to another
hahahahaha!Ukirudi home, mtwange MSHIKI busu moja kwa heshima yangu!
Thanx for the tip gkundi. Currently I am having my lonely time very nicely. Aksante kaka have no plans for that kwa muda sasa
ndio mana mie najionelea niachane na mambo ya fone kabisa.
Too late, labda uniconvice kwa pm nikusaidie lol![/COLOR]
Hahahahaaa! labda mkuu anakujua kwa mipira ya kudundadunda hukosi goli.
..Ujumbe umefika mazee. Kuna jamaa yangu kwenye xmas last year alibamiza simu yake ukutani na chip akaitafuna kabisa baada ya my wife wake kuleta za kuleta...Mwanamke hakuamini kama jamaa amepiga Nokia E17 ukutani. Mpaka leo mama anambeleza jamaa anunue simu basi hatorudia kumsumbua tena. Si unajua alishazoea mara akikaa ka-sms atumiwe vocha, mara honey ukirudi pitia shoprite uje na mikate siku hizi hakuna hiyo. Nimeipenda sana and am about to apply same technique....unaishi kwa amani kabisa.Hahaha! Thats my boy! Sasa hiyo batani ya senksi we huioni? Haiwezekani tangu ujiunge uwe umeigonga mara moja tu? Ikiota kutu utakula BAN!
halafu na mwanajamiione nae alinikoot!mchombeze akaifute bwanaSasa nawe si ukafute ile barring code?
...........lakini PATIENT IS LOVE!unajua kila nikiikumbuka hii incidence huwa najichukia sana,najiona nilishindwa kuwa considerate!maanake mimi ni kwamba seriously niliamua kumuacha na nikatafuta kitoto kingine.lakini yeye aliendelea kukomaa!
leo hii ananiambia aliamua kufight for what belonged to her kwasababu alishaweka 'an oath' kwamba G will be her first man to know her!...ishu ya kuoa mimi ndiye niliyeamua
no MAN is cheating, rather than KUDUMISHA MILA NA DESTURI ZA WAHENGA!.Too late, labda uniconvice kwa pm nikusaidie lol!
Na mjue hii ni research tunaangalia jinsia gani wanapenda ku bar calls zao au kuweka pincode ili tujue nani wanacheat sana kati ya men and women.
Certainly YES!I mean who knows?...hongera sana umepata mke mwema, inawezekana na pia wewe hukum push kwenye limit kutegemea na moyo wake, ila mambo mengine ndoani bora kusikia hivyohivyo, bibi yangu mimi alikuwa anapigwa na babu na uzee wake mpaka akapata maradhi yaliyo gharimu uhai wake, ali VUMILIA miaka nenda miaka rudi lakini mwishowe ikawa ni the matter of life or death🙁
si kwa ubaya, sometime nataka tu kujua kama kama hubby bado analipa, yani kama kuna vidada vinamshobokea au vp ili nijue thamani yake niongeze manjonjo. inaitwa self assessment.
tatizo lako ni mwoga!..kesto tatu unaanza mbwembwe mara ooh!..''WASHKAJI NOMA HOME WATAMAIND,WATANIFUNGIA MLANGO...''no MAN is cheating, rather than KUDUMISHA MILA NA DESTURI ZA WAHENGA!.
Too late, labda uniconvice kwa pm nikusaidie lol!
Na mjue hii ni research tunaangalia jinsia gani wanapenda ku bar calls zao au kuweka pincode ili tujue nani wanacheat sana kati ya men and women.
hahahahaha!Carmel hii njia yako ya kujievalute nimeipenda thou ukiwa na mume kama Iribin au Goeff utahitaji kamoyo ka kichina hahaaaaaaa!!!!!! wapwa msinitungue tafadhali!!!!
mie ya kwangu atapokea calls/atanisomea sms wakati mwingine anaweza kukuuliza, nimjibuje huyu, lakini ya kwake mie wallaa, cjui nijifunze kuichokonoa sasa mana anajiaminigi sana kwamba cwez kuingia humo....ngoja nifanye practical weekend hii.
hahahaaa, noma mkuu si unajua tena!.tatizo lako ni mwoga!..kesto tatu unaanza mbwembwe mara ooh!..''WASHKAJI NOMA HOME WATAMAIND,WATANIFUNGIA MLANGO...''
watoto wa mama mna matatizo
Have you ever hear something like WHEN A WOMAN IS FED UP?