MasterMind
Senior Member
- Aug 26, 2010
- 102
- 0
Simple: Haraka haraka andika meseji hii: Mbona nimekutumia meseji tamu ya mapenzi halafu husemi japo ahsante. Au hujaamini naweza kukutumia meseji tamu namna hiyo?:smile-big::smile-big::smile-big:
sasa mpwa yaliishaje baada ya message kuwa delivered???????
Kama ulimtaja jina unaandika meseji hii: Au umeshangaa nimetumia hilo jina? Hizi tamthilia bana, dah! Asha ni yule demu mkali kwenye tamsilia ya hidden passion! nimekufananisha naye honey, au hupendi? samahani kama nimekukwaza...
Aisee ilibidi nitumie message hii kama ya Asprin
Mbona nimekutumia meseji tamu ya mapenzi halafu husemi japo ahsante. Au hujaamini naweza kukutumia meseji tamu namna hiyo?
Simple: Haraka haraka andika meseji hii: Mbona nimekutumia meseji tamu ya mapenzi halafu husemi japo ahsante. Au hujaamini naweza kukutumia meseji tamu namna hiyo?:smile-big::smile-big::smile-big:
frnd wangu alipataga huo mkasa, mr wake alimtumia msg kimakosa, alikuwa anamlalamikia hawara kwamba ina maana acpokuwa na pesa na sex unaninyima? fikiria nimekufanyia mangai ya maana ambayo cjawahi kuifanyia familia yangu?....na bla bla kibao! alinifowadia hiyo msg nikasema wanaume ni kiboko jamani!.... lakini palichimbika mana na yeye kabsakiwaga na akili za kuvukia barabara kama zangu hapa.
Nyamayao usisahau kuwa unatakiwa usamehe mara 70!
Kama ulimtaja jina unaandika meseji hii: Au umeshangaa nimetumia hilo jina? Hizi tamthilia bana, dah! Asha ni yule demu mkali kwenye tamsilia ya hidden passion! nimekufananisha naye honey, au hupendi? samahani kama nimekukwaza...
frnd wangu alipataga huo mkasa, mr wake alimtumia msg kimakosa, alikuwa anamlalamikia hawara kwamba ina maana acpokuwa na pesa na sex unaninyima? fikiria nimekufanyia mangai ya maana ambayo cjawahi kuifanyia familia yangu?....na bla bla kibao! alinifowadia hiyo msg nikasema wanaume ni kiboko jamani!.... lakini palichimbika mana na yeye kabsakiwaga na akili za kuvukia barabara kama zangu hapa.
Kwa kweli hiyo mimi ilinitokea nikaipotezea kuwa leo nimekuwaza sana mchana nikaona nikutumie sms nzuri hivi my dear my love nyingi kumbe nimeborongoa uzuri sikutaja jina ikanisaidia. Ni balaa usiombe ikukute unaweza kuzimia.
Hivi kumbe ukisemasema maneno kama my dear, my love, honey kwa saaaaana tu viumbe hawa wanalegea???
Kuna jamaa baada ya kutuma meseji ambayo siyo ikabidi awahi kupiga simu customer care na kuwaambia wawaambie watu wa technical wazime mnara wa simu katika eneo ambalo yupo yeye ili message ikwame kwenda.
Ilishanitokea mzee jasho lilinitoka , nikampoteza kimwana mtoto alikuw a bado 18-19. aliniamini na kunipenda hadi kupitiliza . lakini si unajua tena. wanaume mnaniuelewa nadhani
cjawahi kumbana na hilo kashikashi, lakini kama ikatokea mr akanitumia msg ya utata hivyo kwa kweli anahitaji kutumia akili zake za ziada kunieleza kulikoni.
Ukipigwa na pete ya dhahabu au ukufu kisha ukaambiwa kuwa rafiki yake ambae ni John aliomba atume sms kwa sholi wake unaelewa somo tu no comment