deejaywillzz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 637
- 224
Naanza kwa kusema neno Website Development only sababu najua kuna watu wanaweza kuuliza kuhusu Mobile Apps, Desktop Apps na kadhalika. Hii post inahusiana na websites tu
Basic web development languages: HTML na CSS
Client-side scripting: JavaScript na ActionScript
Server-Side Scripting:
PHP inatumika ka karibia 75% ya servers hapa duniani, hii ni kwa general purpose kwenye website. Uzuri wa PHP ni kwamba ni Open Source na vile vile ina support nyingi kwenye kutatua errors. Na vile vile ni compatible across multiple platforms.
JAVA ni language of choice kwasababu huwa inatumika sana kwenye website ambazo zina volume kubwa ya traffic. Kwa Mfano Amazon, App Store, Ma benki nakadhalika. Na pia inajulikana kwa ku-perfom vizuri kwenye website kubwa.
Python pia ni kwa ajili ya general purposes. Developers wengi wanaipenda sababu unaweza kufanya mambo mengi kwa kutumia mistari michache ya coding. Pia inatumika kwenye servers zenye site traffic kubwa. mfano Yahoo Maps, National Weather Services
Ruby haiko mbali sana na Python, imetengenezwa kufanya programming iwe emphasizing short na simple code ambayo ni concise, consistent na flexible.