Mheshimiwa Saidi Mwema Mukuu wa jeshi la polisi Tanzania ninajua hata kama sio member lazima utakuwa unasoma jamii forums ninakufahamu vizuri tangu ukiwa Bank kuu, Police Hq, OCD osyterbay, Rco mwanza, Rco Dsm, Rpc mbeya sasa mkubwa wao IGP matumizi ya nguvu sio sehemu ya sera yako aliyekupotosha nani hadi leo jeshi ulilolitumikia kwa muda mrefu mnaua binadamu ambaye hata jiwe mkononi hana,
kamanda polisi unayoinadi kila siku kwamba mnafanya kila jitihada kuwasogerea raia na ukaanzisha kitengo cha polisi jamii hiyo lugha iko makao makuu ya polisi haiko kwa Ma RPC, OCD, wala kwa OCS huko polisi post jehanamu.
Mheshimiwa IGP matumizi ya nguvu kuzuia fujo inawezekana lakini haiwezekani kuzuia haki hata kaburu wa afrika kusini na shaha wa irani walichemsha kuua ni kuongeza hasira za watu dhidi ya jeshi na kujenga ushujaa wa watu kuwa tayari kufa.
Mauaji sio mwisho wa maandamano subiri maadamano ambayo yataandariwa na wana Jf kukushinikiza umwondoe muuaji RPC wa Arusha na OCD wake kwa sababu hawatayapenda wataua na tuko tayari kufa