nzota makebera
Member
- Mar 21, 2013
- 39
- 8
Ni kweri mkuu though nyerere alipenda sana kuitwa Mwl. NYERERE!
Tundu lissu umefuata nini hapa si urudi bungeni mkaendelee na kikao chenu?. usilete dharau kwa mwl. wangu j.k nyererenyerere ndiye chanzo cha matatizo tuliyonayo huyu mzee sitaki hata kusikia habari zake.
nyerere ndiye chanzo cha matatizo tuliyonayo huyu mzee sitaki hata kusikia habari zake.
Eti Mheshimiwa Juma Kapuya!Hilo neno wamelifanya kichaka cha kuficha upuuzi wao,
Wangeteuliwa wabunge wachache wa kulindwa.
Mfano kama Komba atalindwa kwa shida gani!
Hata atembee usiku wa manane hakuna wa kumdhuru.
Leo wabunge wanataka wapewe walinzi wakati Muhimbili wanachekelea kupewa mashine ya kusafisha damu toka India daah! imenifanya nijiulize mara kadhaa kweli wabunge wetu wanajua wanachokitetea? maana huku watu wakifia muhimbili kwa ukosefu wa vifaa vya kitibabu na juzi tu wabunge hawa wamepitisha bajeti ya wizara ya afya. Wabunge hao hao wanataka ULINZI
Leo katika maswali yaliyovuta hisia bungeni ni swali la Mh Machali lililoulizwa kwaniaba yake na Mkosamali ambaye aliuliza pia maswali ya nyongeza. Kwa ufupi alikuwa mkali kwa serikali ipeleke mswada bungeni ili kuwatambua wabunge katika orodha ya viongozi wakupatiwa ulinzi maalum na serikali. Akijibu maswali ya nyongeza Lukuvi alimshauri Mkosamali kulipeleka kwenye kamisheni ya bunge ili litazamwe. Hebu tujadili ni kweli wabunge wetu wanastahili ulinzi kuliko ilivyo sasa?
wewe unatarajia nini kwa wabunge kama akina komba, lema, sugu, kibajaji, prof, maji mafupi ongezea list,,,,,
hata sishangai kabisa.
wewe unatarajia nini kwa wabunge kama akina komba, lema, sugu, kibajaji, prof, maji mafupi ongezea list,,,,,
hata sishangai kabisa.