Matumizi ya modem 2 kwa wakati mmoja!

Uncle Rukus

JF-Expert Member
Jun 16, 2010
2,415
398
Habari wa kuu? nilikuwa nauliza kama kuna uwezekano wa ku-connect modem mbili za huawei @ the same time? najua hii kitu inawezekana kwa ZTE na Huawei ... Hii ya 2 huawei modems nimejaribu imeshindikana kutokana na kuingiliana kwa driver....

Ningependa kujua toka kwa wengine kama upo uwezekano huo...
 
Tumia windows dial up connection zote zitakubali mkuu
 
Uwezi Tanya dual connectione hatakama Mona no wireless unless you can strong the wifi network.mkuu au Tanya Garcia kwanza
 
Habari wa kuu? nilikuwa nauliza kama kuna uwezekano wa ku-connect modem mbili za huawei @ the same time? najua hii kitu inawezekana kwa ZTE na Huawei ... Hii ya 2 huawei modems nimejaribu imeshindikana kutokana na kuingiliana kwa driver....

Ningependa kujua toka kwa wengine kama upo uwezekano huo...

No system can be "secure"
All locks have keys
All keys can be recreated

Umenifurahisha hapo kamanda

Kwa windows 7 au 8 nenda OPEN NETWORK AND SHARING CENTER>SET A NEW CONNECTION/NETWORK
asset_upload_file212_36196.jpg

CHAGUA DIAL UP
asset_upload_file935_36196.jpg

Ingiza namba yako unayoitumia kwenye modem
Ingiza username na password
Afu ticj remember password ili usiulizwe password unapoconnect
Connection name ipe jina lolote
Kisha bonyeza connect kama inavyoonekana kwenye picha
asset_upload_file403_36196.jpg

asset_upload_file796_36196.jpg

asset_upload_file995_36196.jpg

Ikisha connect bonyeza Close
asset_upload_file316_36196.jpg

Ukishindwa mcheki Mkuu Paje atakusaidia make amewai kunielekeza hii kitu
Pamoja na @2ethemiza in absensia
 
Last edited by a moderator:

Shukrani mkuu, nimefanikiwa.....
 
sasa ndio umemjibu nini hapa? si bora ungekaa kimya. b.w.e.g.e nini?

heshima ni kitu cha bure bwana Maprosoo jukwaa hili lina utamaduni wake, hatuitani majinA offensive, kama huna cha kuchangia kaa kimya, signature ya Robot Invisible inasema hivi "ficha upumbavu wako usifiche hekima yako"
 
Last edited by a moderator:
heshima ni kitu cha bure bwana Maprosoo jukwaa hili lina utamaduni wake, hatuitani majinA offensive, kama huna cha kuchangia kaa kimya, signature ya Robot Invisible inasema hivi "ficha upumbavu wako usifiche hekima yako"

We nakueshimu sana!! Mana umekua ukinisaidia kw mengi sana hapa jf hasa jukwaa hili, kwa hiyo alichomjb jamaa hapo juu we umeona ni sahihi?!? ........au kw kua amekutaja kwenye comment ndio unaingia kichwa kichwa.
NOTE: usiache upumbavu wako utawale matendo yako.
 
Mkuu ulisoma forum rules?? hutakiwa kutumia offensive words, na njunwa wamavoko kumuita C6 sio sababu ya kumpendelea, C6 ni Moderator (Kiranja) wa jukwaa hili so tafadhari usitumie maneno ya kumkashifu mtu, kuna kitu inaitwa BAN itakutembelea
 
Sasa kama ni kiranja ndio m2 anauliza asichojua anakajeliwa!! yeye anakaa 2 kushupalia mambo kisa katajwa!! ........ Watu wengine tupo hapa kujifunza bhana, mtu huwez ukajua kila kitu!
 
Last edited by a moderator:
Wataalamu wetu wa JF,twaomba hili swali lijibiwe kwa faida ya wengi

Utakuwa umeshagaa kuona watu hawajibu swali hili lkn hii kitu ipo kitambo humu ishazungumziwa faida yake na e2themiza japo hawakutoa suluhu jinsi ya kuunga modem mbili za huawei

Kwa kukonect modem mbili unaweza ku aggregate bandwidth za modem mbili na kupata speed ya ajabu

Mkuu Maproso naona umeamua kunifuata PM na kutoa explicit zako
I dont care... go ahead
 
Last edited by a moderator:
Kaa kimya ww!! wanakunanihii wenzio ee? We umeona ulichomjb jamaa ni sahihi! Huna ht mwaka hapa jf unaleta mbweeembwe!! ukimaliza mwaka ndio si ndio itakua balaa!

kukaa kwako miaka mingi JF ndiyo kumekufunza hayo? tuwe tunajifunza majukwaa mbalimbali watu wanabehave vipi, kauli hizo zisingeshangaza hukoo kwenye forum ya jokes, huku tech ni facts tu, kama haujui sema sijui watu wakusaidie, kupormosheana mitusi hakuna maana!...hii familia ya JF ina vichwa vya aina mbalimbali, sijui hata wakina Invisible wanamanage vp!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom