Matumizi ya Mifuko ya Plastic yalikatwaza

Makamura

JF-Expert Member
May 19, 2022
358
557
Matumizi ya Mifuko ya Plastic yalikatwaza lakini now days, wamekuja na hii mifuko ya ajabu migumu, kama bati πŸ˜….

Hii Mifuko hata miaka Buku haiozi, sedikali tunaomba mfatilie hili, na ubawa wa hizi Plasti ni ngumu snaa hata ukichoma zina moshi mzizo sanaa, na hazikunjiki sana, zikizagaa mitaani na the way zinavyo waka waka yan mazingira yatachafuka plasi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…