M mhaya jr Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23 Reaction score 11 Dec 27, 2017 #1 Naomba msaada jinsi ya kupima capacitor, resistor na transistor na he nitagunduaje kama device hizo kama zimeungua ?
Naomba msaada jinsi ya kupima capacitor, resistor na transistor na he nitagunduaje kama device hizo kama zimeungua ?
V vanga Member Joined May 21, 2012 Posts 98 Reaction score 95 Dec 27, 2017 #2 Je una msingi wowote wa electronics? Kama hauna ni lazima ujue aina na tabia ya hizo components kabla ya yote.
Je una msingi wowote wa electronics? Kama hauna ni lazima ujue aina na tabia ya hizo components kabla ya yote.