TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,046
Duh!mkuu kwani wewe ni mtoto wa mbwa?watoto wa mbwa kama sisi
Duh!mkuu kwani wewe ni mtoto wa mbwa?watoto wa mbwa kama sisi
Kwa nini unasema hakuna,jaribu kutoa sababu za msingi ili nasi tupate kuelewa!Hakuna Hayatolah ila kuna Ayatollah
Binadamu na Bintadamu [emoji23][emoji23][emoji23]Kama tutakwenda kwenye chimbuko la maneno Marhum na al hayat, Marehemu ni mtu aliyekufa au mwendazake wakati hayati ni maisha kwa ujumla mfano, Al-Hayat Al-Dunya (The Life of This World]. Ni bahati mbaya kuwa neno hayati hutumika vibaya na kinyume cha maana yake halisi...