sawa hata angeamua kufanya hayo pia ungekuja hapa na wazo tofauti na hayo ,sijui unatakaje mkuu ili nafsi yako iridhike,ifike hatua wandugu tuone kuwa kuna haja ya kuacha kwanza yafanyike alafu ndiyo tuje na mapendekezo,kuliko hii ya kujifanya kila mtu anamaono
mimi naona angeachana na madaraja yasiyo na tija hasa lile la coco ambalo naona kama anasa na urembo.
Kwanza nchi lazima ikue holistically sio dsm tu. Priority ingekuwa ni kuunganisha mikoa yote na wilaya zote kwa rami.
Hapo kutahamasisha maendeleo ua kweli.
Ahame na serikali yake yote pamoja na Ikulu wahamie dodoma.
Badala ya barabara SITA za Dar Challinze, Ingetengenezwa reli na treni express DSM moro, ninauhakika asilimia zaidi ya 40 ya wakazi wa dsm wangehamia Moro.
Nina uhakika ila naona hizo barabara sita zitasababisha bottleneck effect.
Alipoanza Makusanyo yalikuwa Trilioni 1.3, Mwenzi uliyofuatia yalifika Trilioni 1.5 na yakafika Trilioni 1.0.. Swali la msingi mfuatano huu (trend) una maanisha nini?
Mkuu, umesema kitu kimenigusa. Kwa kweli express railway to Morogoro ingepunguza sana jam ya Dar. In fact, JPJM anatakiwa kuweka vipaumbele kwa mujibu wa mipango iliyopo. Vinginevyo tunaengelea kuthibitisha kuwa ni mkurupukaji.mimi naona angeachana na madaraja yasiyo na tija hasa lile la coco ambalo naona kama anasa na urembo.
Kwanza nchi lazima ikue holistically sio dsm tu. Priority ingekuwa ni kuunganisha mikoa yote na wilaya zote kwa rami.
Hapo kutahamasisha maendeleo ua kweli.
Ahame na serikali yake yote pamoja na Ikulu wahamie dodoma.
Badala ya barabara SITA za Dar Challinze, Ingetengenezwa reli na treni express DSM moro, ninauhakika asilimia zaidi ya 40 ya wakazi wa dsm wangehamia Moro.
Nina uhakika ila naona hizo barabara sita zitasababisha bottleneck effect.
Watanzania wanajua mambo sasa hivi usipime! Mimi naona baada ya miaka 10 Tanzania itakuwa zaidi ya USA kwa sababu kila Mtz atakuwa anamiliki mijengo ya adabu kwa bajeti hizi ambazo wanazokichwani. Nahisi wabongo wana mikampuni ya hatari!!!Daraja la kigamboni bilioni 200
daraja la furahisha mwanza bilioni 200 (nakaribisha masahisho)
daraja la coco beach-bilioni 200 zimetengwa
barabara ya dar-chalinze-zaidi ya bilioni 200
mabasi yaendayo kasi -zaidi ya bilioni 200
flyover ya ubungo bilioni 100
Iwapo serikali ingeamua kujenga treni za umeme
badala ya mabasi yaendayo kasi ingetumia dollar milion 430
kwa km 32...yaani karibu Dar yote ingekuwa unapanda treni dakika 10
uko popote pale hata kigamboni treni ingefika kupitia Mbagala..
hii ni link ya Ethiopia inaelezea gharama za treni hizo na tayari wenzetu wanatumia..
Ethiopia gets first sub-Saharan Africa metro - CNN.com
na kama hizo bilioni zingetumika kujenga vyuo vikuu
UDOM gharama zake ilikuwa kiasi cha bilioni 25....