• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Matumizi ya mafuta kwenye Toyota crown athlete yapoje?

stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
9,762
Points
2,000
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2012
9,762 2,000
Ya mwaka gani mkuu..?
 
Boeing 747

Boeing 747

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Messages
1,682
Points
2,000
Boeing 747

Boeing 747

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2018
1,682 2,000
Mzee baba we kama unahela na gari umelipenda jilipue tu...

Usitegemee kupata consumption nzuri kwenye hiyo gari hasa kwa safari za mjini....kumbuka ni gari ya starehe na injini zake ni za lita 2.5 mpka lita 3.5 six cylinders.
Huo ndiyo ukweli wengine woote watakudanganya ooh haili mafuta...

Kumbuka hiyo gari ina injini kubwa...kama kipato chako ni kidogo haitakuwa gari rafiki kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
luangalila

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Messages
1,527
Points
2,000
luangalila

luangalila

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2014
1,527 2,000
Mzee baba we kama unahela na gari jmelipenda jilipilue tu...

Usitegemee kupata consumption nzuri kwenye hiyo gari hasa kwa safari za mjini....kumbuka ni gari ya starehe na injini zake ni za lita 2.5 mpka lita 3.5 six cylinders.
Huo ndiyo ukweli wengine woote watakudanganya ooh haili mafuta...

Kumbuka hiyo gari ina injini kubwa...kama kipato chako ni kidogo haitakuwa gari rafiki kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
huyu ndugu kasema ukweli we kama mnunuzi angalia kipato chako na uwezo wa gari yaan CC hapo ndio utajua ila usiseme kuulizia crown imekaaje sijui nn ila ukweli ni kwamba zina kunywa mafuta as long as ni gari ya CC kubwa engine yake kubwa misili ya mark X ss watakaje tena kama umependa mzigo we jilipue tu utembee nayo ata mwezi then utafanya evaluation ukiona inakutia umaskini una UZA mbona wengi tu wanaziuza izo gari siku izi
 
E

Eminentia

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Messages
1,584
Points
2,000
E

Eminentia

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2014
1,584 2,000

Forum statistics

Threads 1,402,829
Members 530,989
Posts 34,406,243
Top