IamPrince George
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 412
- 168
we kumbe ndio hujuwi.wako matajiri wakubwa watano ambao wamejipanga jamaa anaingia ikulu.akiwemo bakhresa.wanataka jamaa akiingia kuanzia gesi na kila kitu vinakuwa chini yao.wewe huoni urafiki wa Mengi na Rostam sasa hivi ulivyokolea? Ni kwa sababu wapo timu moja.mzee Mengi mnafiki sana.anajifanya ana uchungu na watanzania lakini mlango wa nyuma anawazunguka na kuwauza.
Anawazungukaje sasa kama.sio uelewa mdogo, hahahaha, kwanza una uhakika na unachokiongea?