WENYELE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,415
- 1,379
Ndg wana JF Habari za leo.
Napenda niende moja kwa moja kwenye maada.
Nimeoa na ni baba wa mtoto mmoja,mke wangu ni miongoni wa wanawake wenye mzunguko mrefu sana wa hedhi (30-35).
Katika kutumia mfumo wa jadi wa kalenda katika uzazi wa mpango inakua ngumu sana sababu siku zake hazitabiriki,halafu pia spendi kutumia vidonge au madawa ya uzazi wa mpango sababu yanaharibu sana wanawake wengi mifumo yao ya homoni.
Kukabiliana na tatizo hili na kuzuia kupata mimba isiyotarajiwa tumekua tukitumia kalenda na siku zote za hatari na buffer tunatumia Kondomu.
Njia hii imetusaidia sana coz tunaelekea mwaka wa pili (ambapo mtoto atatimiza umri wa kuacha kunyonya kwa mama yake) bila tatizo.Lakini changamoto inayotukumba ni sensitivity ya miili on condom's brand.
Tunatumia sana rough rider brand lakini wakati mwingine km hazipo tunachanganya na brand zingine,ikitokea hivi wife hutoka mapele.
Je,Condom ziko associated na kusababisha matatizo mengine ya kiafya kama Kansa ikitumika sana?
Asanteni