Matumizi ya kokwa za embe kubana uke

ben brancoII

Member
Mar 19, 2017
40
27
images%2B%25285%2529.jpg

(ngoja niseme maana wanaume wengine wanaona aibu kusema)

Ukweli ni kwamba uke uliolegea hupunguza ladha ya tendo la ndoa kwa wanaume wengi

Tatizo la uke kulegea au kutepeta ni tatizo linalotokana na kulegea kwa misuli ya uke, hali hii husababisha Uke kulegea au wanaita Kutepeta(unanipata bibieee!!!!!)

Mara nyingi wanaume waliooa wake au kuwa na wapenzi ambao wana matatizo ya uke uliolegea au kutepeta hua mara nyingi inatokea wanapoteza hamu ya kufanya mapenzi na hao wake zao au wapenzi wao au hata mwanaume kushindwa kumudu vyema tendo hilo kwa maana ya kutokuweza kurudia bao la pili ikiwa atajitahidi kumaliza kushusha bao la kwanza na kujikuta mzuka wooooooooote umekwisha

SABABU ZA UKE KULEGEA AU KUTEPWETA

Baadhi ya sababu zinazopelekea misuli ya uke kulegea na kusababisha mwanamke kua na uke uliolegea au kutepeta nazo ni hizi zifuatazo;

(a) Magonjwa ya uke

(b) Kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara

(c) Kujifungua

(d) Usagaji

DAWA YA UKE ULIOLEGEA AU KUTEPWETA

Chukua kokwa za embe za kutosha zianike juani mapaka zikauke vizuri, zisage hizo kokwa ziwe unga laini

MATUMIZI

Chukua unga huo wa kokwa za embe ujazo kijiko kimoja kikubwa cha chakula changanya na maji ya vuguvugu ujazo wa nusu lita. Tumia hayo maji kunawa ukeni mara tatu kwa siku

Fanya zoezi hilo kila siku mpaka bibi awe mnatoooo

ZINGATIA

Uke utaanza kubana siku ya tatu tu mara baada ya kuanza kutumia dawa.

Ukipenda SHARE wengine pia wapate faida hii
 
Ndiyo maana kansa ya kizazi inazidi kushamiri, maana huko kwa bibi kunawekwa kila aina ya viungo mara mgagani...mara asali mara alovera

Wanawake wenzangu kama unaona uke wako umelegea ni bora kufanya mazoezi ya Kegel na sio kuweka vitu vya ajabu ajabu kuna kansa.

Hao wanaume mnaotaka kuwafurahisha mbona wenyewe hawaangaiki kiasi hicho? Khaa!!!
 
Ndo maana sisi middle age tulio oa tunachepuka ili tusiwachakaze wake zetu wakalegea matundu yao,ili tutakapofika uzeeni tuendeleee sasa kula raha mnato kwa wake zetu, sio umeoa ujanani kila siku tundu hilo hilo ujana wako na utu uzima wako, kisha umri ukishasonga mwanaume ndo unaanza kukamatia michepuko kwamaana waifu kashalegea hovyo, wakati uzee ni wakati wa kupumzika na wife mnato.
 
Kuna stori ya mdada inasambaa... Alikua anaipika papuchi kuridhisha mwanaume mwisho wa siku akawaua bacteria walindao uke na kupata infection isiopona kwa dawa yoyote ile. Na huwezi warudisha tena wale bacteria. Saivi yuko na maumivu makali na hatarini kupata kansa.

Wadada wenzangu!!! Msiweke chochote huko eti kubana papuchi, utajisababishia uozo na matatizo mengine na mwanaume ulietaka kumridhisha atakukimbia! Uke ubane, usibane, haiwazuii kuchepuka.

Kama imelegea sana fanya mazoezi ya kegel... Yanabana papuchi unakua mnato haswaa!
 
Na mimba kawape michepuko wakuzalie ili mkeo asilegee
Ndo maana sisi middle age tulio oa tunachepuka ili tusiwachakaze wake zetu wakalegea matundu yao,ili tutakapofika uzeeni tuendeleee sasa kula raha mnato kwa wake zetu, sio umeoa ujanani kila siku tundu hilo hilo ujana wako na utu uzima wako, kisha umri ukishasonga mwanaume ndo unaanza kukamatia michepuko kwamaana waifu kashalegea hovyo, wakati uzee ni wakati wa kupumzika na wife mnato.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom