Matumizi ya kinga (kondomu) katika tendo la ndoa

Matumizi ya kinga (kondomu) katika tendo la ndoa

matics

Senior Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
133
Reaction score
81
Hivi ni kwanini wanawake huwa hawana maamuzi juu matumizi wa kingamaana akishaingizwa chumbani tu mwenye maamuzi huwa ni mwanaume?

Mwanzon anaweza uliza ziko lakini baadaye haulizi tena au anaweza kuuliza ukajifanya kuivaa ila ukitaka kupenyeza tu unaitoa na anaendelea tu
 
Kwani pesa huwa anatoa nani?...naamaanisha boss hapangiwi
 
[emoji16][emoji16][emoji16] hya bhana
 
Ni vema ukajilinda na kumlinda, majuto ni mjukuu!
 
Kwanini gari halimpangii dreva kwakwenda. Ye anaenda mbezi lenyewe likaenda kimala.

Nami niulize swali kama mtoa mada bhana
 
Back
Top Bottom